Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Unamjua sokomoko?I smell a chicken [emoji239]…. Umeogopa tena?…[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamjua sokomoko?I smell a chicken [emoji239]…. Umeogopa tena?…[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ndivyo watu waliostaarabika hufanya migomo Yao, sio kuharibu na kuvunja maduka na kuchoma magari ya watu.Wewe ndio mnyonge kwa kufukiria wewe ni mzungu kutoka Tanzania
Jicheck kwa map mzee ojwani,kisha fanya comparisonTanzania nchi ya maziwa na ásali… hakuna njaa… blah blah blah…..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao nyangau migomo yao huenda kupora chakula cha watu kwenye sherehe na mikutano wanasikitisha sana kwa hali waliyokuwa nayo maana ni hali ya kujitakia wenyewe.Hivi ndivyo watu waliostaarabika hufanya migomo Yao, sio kuharibu na kuvunja maduka na kuchoma magari ya watu.
Kenya ni taifa lililofeli, ukiachana na vi apartment ni mradi Gani wa maana unaendelea.?
Filter filter filter 🤣🤣🤣🤣
Wakati nyinyi mnaona faraja kwa kuwapea wachina kazi zote na kuimport fully built buses, tazama hatua zimepigwa na kenyan local assemblers and fabricators
View attachment 2624698
Kujikombakomba tu kwa watu..
hamuwezi kufanya kazi nchini kwenu?
Ukishindwa kuwalisha na kuhudumia mifugo yako, njia nyepesi ni kuwaachia Ili wakazurure kwenye mashamba ya watu. Typical failed state.Hivi mbona hawa wanasiasa wa Kundustan wanahamasisha sana wakundustan kuikimbia nchi yao?
Siku kadhaa huko nyuma Rais Ruto (Mr Loot-All) huko korea ya kusini aliwaawahakikishia wakundustan more jobs in Korea , na sasa mwingine huyu tena . Hii nchi ni Typical Failed State. Kwanini wanawafukuza wananchi wao waende nchi za watu wengine ?
We hujielewi.. IQ yako iko chini sanaSio kwa kuongea hicho kizungu cha ugoko. Bado hamjielewi nyie nyang'au🤣🤣