Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninakupata vizuri Sana, hili ni tatizo kubwa Sana, sio Tanzania tu, watu wa aina hii ndio wengi katika nchi hizi za dunia ya tatu.

Sasa nchi ikiwa na watu Kama hawa hata kwa 25%, kweli kutapatikana maendeleo?. Hawa ndio watanzania wachache waliosoma, wakirudi vijijini jamii inawaamini kwa Kila wanachosema kwasababu ni wasomi.
Kizazi cha wajinga wa hiv ni cha kukiteketeza chote, they don't deserve life. Magufuli alikosea sana kutowapoteza wote kwenye system.

Hatuwez ishi kwenye dunia ya kuoneana haya kwa kivuli eti democracy/Human rights wakati wapumbavu wachache wanafaidi pesa za mamilioni ya watanzania maskini while common citizens wanateseka. Ni ujinga wa namna gani.?
 
Ndio maana hatuendelei. Hawa watu hawana uchungu hata kidogo na nchi yao.
Kutunga mambo ya uongo, Majungu, kuishi maisha ya kuchunguzana na wasiwasi, yaani hawashughuliki na maisha yao Kila siku kuchunguza kwanini Fulani Leo amekwenda mji Fulani.

Hivi kweli mtu na akili zako unauliza kwanini mtu au kundi Fulani limeamua kufanya shughuli zao ukanda fulani, kweli kabisa mtu mzima mwenye akili timamu unauliza swali Kama Hilo?, Sasa ulitaka waanzie wapi na kwanini?. Wapi katiba ya nchi inatoa maelekezo ya wapi ni lazima uanzie huko?, na utakuta ni uzushi mtupu, hakuna lolote linalofanyika, hovyo sana hawa watu.
 
Mtu hapa alitaka kuona Tatu City. Kwa kifupi. Ukitaka full dose useme
Screenshot_2023-05-13-21-59-45-09_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-13-21-56-32-75_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-13-21-56-46-94_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-13-21-53-35-73_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
 
Back
Top Bottom