Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi huwa hatuna janja janja, ukisikia tunajenga juwa kwamba tunajenga kweli, na ndiyo maana ukiona tumejenga kitu world class juwa kwamba ni world class kweli, hiyo Dodoma haijajengwa Magufuli city pekee ambayo unaiogopa wewe, kuna miji ipo nje ya govt City ndani ya Idodomya na imepangwa kweli kweli. Upon completion hakuna mji utasimama ushindane na Dodoma City be it Dar or the rest of EA, hakuna mji utakaribia Dom.
Make sure you demolish ya zamani…… then come back to us…the problem with your so called cities ni kuwa na a few shiny buildings surrounded overwhelmingly na Uswazi kila corner… si Dar peke yake…. Ni nchi nzima… the fruits of Ujamaa communism…😁😁😁
 
Sisi huwa hatuna janja janja, ukisikia tunajenga juwa kwamba tunajenga kweli, na ndiyo maana ukiona tumejenga kitu world class juwa kwamba ni world class kweli, hiyo Dodoma haijajengwa Magufuli city pekee ambayo unaiogopa wewe, kuna miji ipo nje ya govt City ndani ya Idodomya na imepangwa kweli kweli. Upon completion hakuna mji utasimama ushindane na Dodoma City be it Dar or the rest of EA, hakuna mji utakaribia Dom.
Please post other cities within… I will pay my respects….
 
Wacha kuongea upumbavu wewe.. ngoja kidogo nikuonyeshe moto. Dom View attachment 2619335View attachment 2619336View attachment 2619338.. utafanisha na huo ushuzi wa kuitwa konza kweli.? Wewe ni kichaa nini.? DOM isn't only about government offices, kuna investment kibao as we talking right now DOM metropolitan iko na wakazi 310k .. miradi kibao with in it, international airport, outer ring roads, schools, hospitals, industries (big brands in Tz), SGR n.k .. Ukiskia DODOMA usije ukachukulia poa mdogo angu.

DODOMA gvmt city is just the city in the city.. neno DODOMA sio kawaida jombi 🤣

Hiyo konza Ina miaka labda 50 kufika ilipo DODOMA sasahiv as the City
Barabara za Konza got better horizontal infrastructure than these …. I know you will never understand… make google your friend kilaza…
 
Kwani ni ya free?…. We buy…I thought you moved to capitalism … without us buying from your farms si mtakufa na umaskini …your farmers will demonstrate in the streets…. Jaribu kufunga uone!…
Capitalism has failed you terribly, now you are a direction less country trying to copy socialism principle by forcing people to contribute money from their salaries to build houses for them and distributing free food for starving communities.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hebu hapo tuambie ajabu ni kitu gani?? Yani toka mradi wa mchina ni kama mumechanganyikiwa hvi sijui kwa vile hamuna projects zingine au vp???🤣🤣🤣
Unalia nini,hi project is massive and have completely changed the face of Nairobi,,hapa tulicheza kama sisi
 
Hawa kunyans Wanaji'confuse .. eti ooh DODOMA hakuna viwanda au private investments 🤣 ni ukichaa ..

Let me make it clear.. DODOMA government city is the city with in the City of DODOMA ambapo kwenye hilo jiji la DODOMA kuna viwanda, mahoteli, masoko makubwa, stendi za Mabasi, miradi mikubwa ya maji, SGR, miradi mikubwa ya barabara, airports, vyuo vikuu, hospitals kubwa kubwa, ambavyo vyote hiv unavipata (tayari vipo) nje ya huo mji wa serikali unaojengwa sasahiv. mwaiofhawaii sijui unanielewa.?
Dom
tanzania_bound_buses_1683862749384791.jpg
 
Dar Real estates is back on track ,80% ya Nyumba za Kawe kwenye mradi wa Samia Housing zimenunuliwa kabla ya Kukamilika..

Samia Housing Kawe project Ina nyumba 560
 
Back
Top Bottom