islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
miguu ya wakenya ina sura ngumu yaani huo mguu utafkiri umefanyiwa wayaring na shetani....[emoji16][emoji16]
Alaf akothe yuko ulaya anagawa nyapu kama mafungu ya nyanya[emoji38][emoji38][emoji38]
Dstv kapigwa nje ndani [emoji16]Ligi ya tanzania anaonesha azam
Ligi ya kenya anaonesha azam
Ligi ya malawi anaonesha azam
Ligi ya uganda anaonesha azam
Ligi ya zimbabwe anaonesha azam
Vi media vyao ni vya kueneza propaganda za kipuuzi tuu. Kelele za chura hazimzuii Tembo kunywa maji.Halafu kuna wapumbavu watakuambia wana media superior zaidi!
Hawezi rudi hapa na hizo data mpaka kiama[emoji16]Huyo mwacheni msimsumbue, anatafuta data za exports zote za Kenya za 2022 Ili tulinganishe na Tanzania tujue nani beberu ukanda huu
Anachungulia kwa mbali, akirudi Kama sipo hewani mkumbusheni hilo deni, asidhani tumesahau.Hawezi rudi hapa na hizo data mpaka kiama[emoji16]
Ohhh samahani sikujua kama ana homework yakufanya Nicxie basi soldier wa wenyewe usije endelea kufanya home work kwa usahihi 😁😁😁Huyo mwacheni msimsumbue, anatafuta data za exports zote za Kenya za 2022 Ili tulinganishe na Tanzania tujue nani beberu ukanda huu
Hivi hapo kuna kanafasi ka kupaki magari kwa wasindikizaji wa wasafiri wa Treni?
We jamaa uko kwenu hakuna mradi mwingine wa kupost humu.?
Au tumsamehe maana anatia huruma.Anachungulia kwa mbali, akirudi Kama sipo hewani mkumbusheni hilo deni, asidhani tumesahau.
Za kulipia zitakuwepo! Kumbuka TRC is the largest land owner!Hivi hapo kuna kanafasi ka kupaki magari kwa wasindikizaji wa wasafiri wa Treni?
Hahaha, hahahaha, hahahaha, mwana kulitafuta, mwana kulipata.Ohhh samahani sikujua kama ana homework yakufanya Nicxie basi soldier wa wenyewe usije endelea kufanya home work kwa usahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
Katika dunia ya vitendawili, anayeshindwa kutegua, huwa anampa mji yule aliyetega, Kama ameshindwa lazima atoe mji, ila tusikubali mji wowote wa Kenya, huko ni hatari kwa uhai na afya za watanzaniaAu tumsamehe maana anatia huruma.
We jamaa uko kwenu hakuna mradi mwingine wa kupost humu.?
NInavyojua parking ipo ndani unaingilia gate lililo opposite na kituo cha bus cha station kama unatokea clock towerHivi hapo kuna kanafasi ka kupaki magari kwa wasindikizaji wa wasafiri wa Treni?
PigwakitupppWe jamaa uko kwenu hakuna mradi mwingine wa kupost humu.?
Kapo chini ya viaduct inayoapproach terminal.Hivi hapo kuna kanafasi ka kupaki magari kwa wasindikizaji wa wasafiri wa Treni?