Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Na kama itasukwa pale itakua ni unyama sana mana pale ni taswira ya jiji ukitokea ziwani ..Inasukwa palepale pembeni ya station ya Mjerumani?
Na kama itasukwa pale itakua ni unyama sana mana pale ni taswira ya jiji ukitokea ziwani ..Inasukwa palepale pembeni ya station ya Mjerumani?
Sasa haya ndio mambo, pia fumua vile viwanja vya Sabasaba pale jenga kitu matata kabisa. Jiji la kibiashara liwe na maonesho ya kibiashara kamambe kabisa ukanda huu. Watu wakisikia Dar es Salaam International Trade Fair wapate picha kama ya Canton Fair au Dubai. Alafu wakisikia International Agriculture Fair, wapate picha ya Mbeya huko. Alafu ilo la museum wazo kuntu sana, Bongo we need more museums, museums ya mashujaa na viongozi. Museums za Jeshi, Museum za kibiashara kama usafirishaji na mambo kama hayo. Kila kitu tunacho, ni muda wa waBongo kutembea kifua mbele kama wamepigwa ngumi ya mgongo😅😅Kwani hujasoma mbao hizo?
Mbeya is next level View attachment 2614617
Plus cold roomsSasa haya ndio mambo, pia fumua vile viwanja vya Sabasaba pale jenga kitu matata kabisa. Jiji la kibiashara liwe na maonesho ya kibiashara kamambe kabisa ukanda huu. Watu wakisikia Dar es Salaam International Trade Fair wapate picha kama ya Canton Fair au Dubai. Alafu wakisikia International Agriculture Fair, wapate picha ya Mbeya huko. Alafu ilo la museum wazo kuntu sana, Bongo we need more museums, museums ya mashujaa na viongozi. Museums za Jeshi, Museum za kibiashara kama usafirishaji na mambo kama hayo. Kila kitu tunacho, ni muda wa waBongo kutembea kifua mbele kama wamepigwa ngumi ya mgongo😅😅
Watanzania wanaojua hili Jiji la Nairobi, wapi hapa!?
View attachment 2613904

Mi nashnagaa unapoteza muda na Mkenya mlowezi.Wewe ni mlevi bila shaka.. Tanga iko na viwanda vinne vikubwa vya Cement .. bomba la mafuta kutoka UG ambapo Tz itapata 40% ya faida ya bomba hilo plus Tanga iko n bandari ambayo Ina handle 1 million tonnes annually 👇View attachment 2614631.. nitakupiga na hizi facts hadi lini mzee.?