chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Ndio inavyoonekana sababu parking ni ndogo, wakipaki staff na wenye slots za biashara kwenye terminal nafasi itazidi kuwa ndogo zaidizipo kwa upande wa mbele, pia hapo panaweza kuwa DROP OFF/PICK UP ONLY