Mwanaume mzima unashinda ukimsema vibaya mwanamke multimillionaire asiyekufahamu. Small dick energy ni sifa yako.Sawa bibi harusi umerudi tena leo naona umeamka na mm 😆😆😆
Ona comment za wenzio wenye akili zao👇
Muuza nyapu kwann asisemwe mwanamke anaolewa leo na kesho anaachika huyo nae mwanamke 😆😆Mwanaume mzima unashinda ukimsema vibaya mwanamke multimillionaire asiyekufahamu. Small dick energy ni sifa yako.
Halafu kuna wapumbavu watakuambia wana media superior zaidi!Ligi ya tanzania anaonesha azam
Ligi ya kenya anaonesha azam
Ligi ya malawi anaonesha azam
Ligi ya uganda anaonesha azam
Ligi ya zimbabwe anaonesha azam
Wewe kinachokuumiza kuhusu divorce ya mtu mwingine ni nini kama si kiherehere?Muuza nyapu kwann asisemwe mwanamke anaolewa leo na kesho anaachika huyo nae mwanamke 😆😆
au unaumia vile ni mwanamke mwenzako??
Hawa mafala wa north uwa wanapenda kuanzisha vita za kijinga na nchi nyingine twitter na tiktok,kule tiktok wamekutana na wabongo waliopinda wanawapelekea moto hadi wameanza kuripoti acc za wabongo zifungiweKa CBD hakana hata BRT wala electrifitried SGR eti kanaitwa developed in East Africa, labda kama Dar iko excluded![]()
Vp kwani au ww ndio umeachwa?? Manake unaumia kama ww ndio akothe kwema lakini ?? 😆😆😆Wewe kinachokuumiza kuhusu divorce ya mtu mwingine ni nini kama si kiherehere?
Na moja Kwa moja unaleta assumption kuwa tatizo ni yeye kwenye ndoa. Mwenza wake je? Wewe ni marriage counselor?
Kiufupi wewe ni misogynist na hupendi kuona mwanamke ambaye hana interest ku-conform na qualities ambazo akili yako finyu inaona ndio Mwanamke anapaswa kuwa nazo. Wewe ni nani kuamua maisha ya mwanamke yawe Vipi?
Ila huu ni ujinga,hivyo iwapo tutauza wenyewe ulaya ni vizuri kuliko kuwauzia kunyaland maana sasa hivi kunyan ndio nchi inayoongoza kuuza avocado ulaya while wao wananunua kwetu halafu wanaexport ulaya,serikali yetu inashindwa nini sijui!Kunyaland can't survive without Tanzania
![]()
Value of Kenya exports to Tanzania tops EAC growth
Huge increase tied to improved relations between Nairobi and Dar es Salaam.nation.africa
Kichwa chako kimejaa tope.Vp kwani au ww ndio umeachwa?? Manake unaumia kama ww ndio akothe kwema lakini ?? 😆😆😆
So unataka kusema akothe hauzi nyapu au?
Kataa basi kua hauzi nyapu niskie 😆😆😆
Sawa shosti wake akothee 😆😆😆Kichwa chako kimejaa tope.
Walishatangulia huko zamani sie ndio tunaanza so it won't be reversed overnight.Ila huu ni ujinga,hivyo iwapo tutauza wenyewe ulaya ni vizuri kuliko kuwauzia kunyaland maana sasa hivi kunyan ndio nchi inayoongoza kuuza avocado ulaya while wao wananunua kwetu halafu wanaexport ulaya,serikali yetu inashindwa nini sijui!
Mkuu, Kama mishahara tu ni hadi wakope IMF, watatoa wapi pesa za miradi mikubwa?Hivi wakenya wanamradi wowote wenye walau nusu ya thamani ya mradi JNHPP
Huyo mwacheni msimsumbue, anatafuta data za exports zote za Kenya za 2022 Ili tulinganishe na Tanzania tujue nani beberu ukanda huu
Oyaa wazee
zipo kwa upande wa mbele, pia hapo panaweza kuwa DROP OFF/PICK UP ONLYHivi hapo kuna kanafasi ka kupaki magari kwa wasindikizaji wa wasafiri wa Treni?