Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi haiwezi ku level with Dar kwa sababu Dar ina world class infrastructures mfano cable stayed bridges (siyo moja yapo mawili), BRT system, cable stayed SGR viaduct, ongoing underground electrified SGR, etc... Nairobi hakuna hata kimoja kati ya hivyo nilivyotaja, sasa unawezaje kulinganisha hiyo miji miwili? Nairobi size yake Dodoma ambapo hiyo Dodoma ikikamilika hata Dar haitogusa.
Hata treni za Gorofa ziko Dar tuu Africa nzima hakuna sembuse kanairo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunakwenda kuinua michezo Kenya, kuanzia soka mpk ndondi, ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2614840
Mbona kama mahawkers? 😂😂😂😂
Kweli soka lao lina kila sababu ya kubaki kaburini 🤣
 
Bado Dar ina more trees in the CBD than Nairobi na CBD yetu ipo decongested kuliko overpopulated Nairobi CBD


On the contrary, “congested” au Kwa kutumia correct terms, High Density, ni kitu kizuri kwenye miji. CBD ya Dar ina high density pia. Kinachokosekana ni miti ya kutosha kwenye hizo sidewalks zinanazojengwa sambamba na BRT.
 
Lavington Nairobi
Screenshot_2023-05-08-19-53-59-22_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~3.jpg
Screenshot_2023-05-08-19-51-18-82_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-08-19-52-13-56_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-08-19-52-39-09_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~3.jpg
Screenshot_2023-05-08-19-54-36-37_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-08-19-54-52-63_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
 
Azam TV watatuonyesha mpaka chumbani kwao. Utasikia top scorer wa KPL au MVP akipewa carton ya maziwa ya brookside au kamfuko ka unga wa ugali [emoji16][emoji16][emoji16]
Ikiwa bingwa wa ligi anapewa milioni 20 unategemea nini, washukuru Mungu Azam kaenda kuwakomboa angalau kdg dau litapanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikiwa bingwa wa ligi anapewa milioni 20 unategemea nini, washukuru Mungu Azam kaenda kuwakomboa angalau kdg dau litapanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ligi ya tanzania anaonesha azam
Ligi ya kenya anaonesha azam
Ligi ya malawi anaonesha azam
Ligi ya uganda anaonesha azam
Ligi ya zimbabwe anaonesha azam
 
Back
Top Bottom