Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 888
- 1,055
Alaf akothe yuko ulaya anagawa nyapu kama mafungu ya nyanya😆😆😆
Tiwa Savage kawa Mtanzania tena. Hehee, nitavunjika mbavu. Mchukueni na Yemi Alade pia awe wenu.
Alaf akothe yuko ulaya anagawa nyapu kama mafungu ya nyanya😆😆😆
Hili suluhisho litazaa matunda?
Alaf akothe yuko ulaya anagawa nyapu kama mafungu ya nyanya😆😆😆
Suluhisho la majeshi litaleta Tija?Nadhani sisi tutajoin na SADC huko congo,sio wale wasanii wa eac
CBD with no mchanga, michanga michanga wachia vi CBD uchwara vya EA kama ka Nairobi.Oyaa wazee
Ka CBD hakana hata BRT wala electrifitried SGR eti kanaitwa developed in East Africa, labda kama Dar iko excluded [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CBD with no mchanga, michanga michanga wachia vi CBD uchwara vya EA kama ka Nairobi.
Oyaa wazee
Hawa tumewakamata Kila idara, Tanzania is a real giant of EA.Piga hela azam tv [emoji122][emoji122]
Yani mkuu hawa Wakenya tuliwaambia hii miradi kuna siku itakamilika wakawa wanabisha, now sisi tunaonesha miradi mipya kila siku wao wanaonesha GTC na expressway on a daily basis hadi huruma aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutazidi kuwakumbusha wale Watopestan ( Wakundustan) kuhusu mabadiliko ya hili eneo kama tulivyowajulisha toka mwanzo [emoji23]
Tunakwenda kuinua michezo Kenya, kuanzia soka mpk ndondi, ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga hela azam tv [emoji122][emoji122]
ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2614840
Mishahara watalipaje?Sisi hatutakopa tena aliskika nabii mmoja kabla ya uchaguzi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na pia waliamishwa kua tanzania bado iko 90s
WATOPESTANI NMEIPENDA IYOTutazidi kuwakumbusha wale Watopestan ( Wakundustan) kuhusu mabadiliko ya hili eneo kama tulivyowajulisha toka mwanzo [emoji23]
ME naona wavuta BHANGI apo akuna mchezaji KIUKWELITunakwenda kuinua michezo Kenya, kuanzia soka mpk ndondi, ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2614840
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment yangu fupi ni huyo dogo namfaham😂..ni mtoto wa Haika Lawele (mama na mmiliki wa kumbi za sherehe mbili, mbezi beach na msasani) na Phares Magesa (baba na Rais wa basketball Tanzania).. ana kaka yake anaitwa patxon.. nae ni mkali kwa mathe ila naona huyu dogo kamzidi mwenzake.
Alaf akothe yuko ulaya anagawa nyapu kama mafungu ya nyanya😆😆😆