Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kipindi mimi nilikuwa nasoma tu bila kuwa na ID ilifika mahala nikawa nikiona vipicha vya Naipori naogopa sana kuwa hawa kundustan wanatuzidi kila kitu kumbe kwa ground mambo ni tofauti hawana hata chochote huwezi amini mwamba tangia 2017 hadi Leo 2023 wakenya nipicha za naipori hawana mradi wowote ule mkwabwa wao wanaandamana kwa ajili ya unga
Wakati huu uzi unaanza mwaka 2017 ilikuwa shida sn kuwaaminisha watu kwamba Tz ipo juu ya Kenya, tulipata tabu sana mpaka baadhi ya Watz walikuwa hawaamini kabisa, tena tulikuwa tunarumbana humu kweli kweli na Watz wenzetu waliokuwa hawaamini hilo, lkn kwa ss Wakenya ndio hawaamini kama Kenya yao ipo juu ya Tz, wamebaki Wakenya wachache hasa wa humu JF ambao ukweli wanaujua kwamba Tz ipo juu sana sema wanaona aibu kukubali japo tunaona wanakubali kupitia post zao zilizokata tamaa.
 
Wakunya wanakupenda huku kama ugali-sukuma 😂😂

Arusha

20230505_174622.jpg
20230505_174630.jpg
20230505_174627.jpg
 
Alafu kuna huu, fahari na kimbilio la East and Central Africa, kama ulaya mwanangu View attachment 2610816
Tutaniane lakini tusiwe wanafiki. Mbona utudanganye hali sisi wote jamii ya Afrika Mashariki!?
Wewe mwenyewe unajua Wachina hawakuunda uwanja huu vyema na ushaanza kuumbuka. Playing surface ni mbovo ajabu. Juzi niliacha kama wanatadhmin vile wataukarabati. Halafu unasifia !?
Screenshot_2023-05-04-15-37-25-00_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
Screenshot_2023-05-04-15-36-38-63_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Did you know!?
Kenya joined the ranks of USA, UK and Israel by having its own qualified Kenya Marines.
The most lethal force ever
Screenshot_2023-05-05-15-03-17-63_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
20230505_145948.jpg
 
Back
Top Bottom