joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ukatili wa wakenya umepitiliza, hawa ni watu au wanyama?
Siku ukipata modern street and modern suburb kama hzi iwe mombasa au kisumu unitag nifunge acc mara moja 👇👇👇👇
Taja mji wowote kutoka Tz nitawekea picha ka hiyo
Picha imepigwa kutokea mbezi.?
Nahisi kama maeneo ya mikocheni vile au kawe kama sijakoseaPicha imepigwa kutokea mbezi.?
Did you know!?
Kenya joined the ranks of USA, UK and Israel by having its own qualified Kenya Marines.
The most lethal force ever
View attachment 2611201View attachment 2611203

Sometimes it is very unfair to compare DAR to Nairobi. As Nairobi is a developed city.
View attachment 2611175

Across the world, towers and business premises are built by people from around the world. That is what makes them global cities. So if someone says GTC Ni ya mchina anaonesha Ushamba wa kupitilizia.
View attachment 2611216
Hahaha, KDF is the weakest army in this areaDid you know!?
Kenya joined the ranks of USA, UK and Israel by having its own qualified Kenya Marines.
The most lethal force ever
View attachment 2611201View attachment 2611203
Tutaniane lakini tusiwe wanafiki. Mbona utudanganye hali sisi wote jamii ya Afrika Mashariki!?
Wewe mwenyewe unajua Wachina hawakuunda uwanja huu vyema na ushaanza kuumbuka. Playing surface ni mbovo ajabu. Juzi niliacha kama wanatadhmin vile wataukarabati. Halafu unasifia !?
View attachment 2611193View attachment 2611195
Na anajiona amejibu kweliNow you want to compare the two photos??![]()

Hawa ndo wale hawajui kuogelea!![]()

Excuse ya kipumbavu kabisa kuwahi kutokea jamiiforums.Tutaniane lakini tusiwe wanafiki. Mbona utudanganye hali sisi wote jamii ya Afrika Mashariki!?