Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Komaa nae hadi kieleweke
Wewe jinga kabisa, Mimi sitaki maneno. Hapa Afrika Ukiacha South Africa na Egypt, hakuna nchi yoyote ambayo manufactured goods inafikia 20% ya exports

Kenya's top export yake ni tea ambayo thamani yake ni $2.6B kwa huo mwaka 2021, Sisi huku ni Gold ambayo inakaribia $4B, Wacha kudanganya watu, wewe ni mwongo Sana, ndio sababu unashindwa kuonyesha "real figure", badala yake unatumia maneno matupu.

Sasa weka data za total value of exports za Kenya 2022, tulinganishe na Tanzania
Sikuachi hadi ukubali kwamba Tanzania ndio dume la mbegu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
cluster za majengo ya wizara kama hii ziko 4 kila cluster 1 ina zaidi ya majengo 8 then kunyaland watakuambia Tanzania tuliacha kujenga majengo Dar 😂😂😂 hawajui tunasambaza maendeleo nchi nzima, sio wao ukitoka Nairobi hakuna pa kutazama

20230505_145717.jpg
 
Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu

Nimekujibu specifically kwenye zile municipals ulitaja, there are more better sports infrastructure in our 7 Cities and other Municipalities like Tabora etc.
A reason I am wondering how comes you are building such outdated things in 2023 ikiwa we did it in 70s.
Having in mind that 10 years ago Jubilooters promised you 5 new stadia
IMG_3536.jpg


And see what you are building in 2023 haha
IMG_0231.jpg

IMG_0230.jpg
 
Wa manispaa wataishije maisha mazuri kama wa Dar jiji kuu ndio wanaishi uswazi hovels?

One thing you guys need to do is to Travel,
Tz mikoani Life is good man , not like cundustan Nairobi is hell, outside nairobi is pathetic.. kwa kina mchungaji Mackenzie huko . Watu wanaishi kama mashetani. Bandits huko northern kunya plus hunger and starvation all over the country,
Huku Tz people have acess to all necessary services despite the region, ends Arusha, Kilimanjaro, Songea, Iringa, Njombe, Mbeya , Sumbawanga, Mtwara, Zanzibar , Mwanza ni huko kote people have access to good transport system , the roads, railways, airports etc,
People have access to clean water, people have access to healthcare services , people have access to electricity, people have access to fresh food, nk,
Wenzenu wakenya wanaotembelea Tz can witness that.
This is iringa vijijini huko .
IMG_1618.jpg

IMG_0460.jpg

IMG_1485.jpg

IMG_1608.jpg

IMG_1611.jpg

IMG_1628.jpg

IMG_1603.jpg

IMG_1623.jpg

IMG_1641.jpg
 
Back
Top Bottom