Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati wengine wakikimbia m23 Congo, huyu mwamba aliwanyoosha hao m23 hadi leo hawana hamu nae.

Haya majeshi dhaifu ya EA yana mengi ya kujifunza kutoka kwa baba lao JWTZ.

IMG_7926.jpg
 
Wewe jinga kabisa, Mimi sitaki maneno. Hapa Afrika Ukiacha South Africa na Egypt, hakuna nchi yoyote ambayo manufactured goods inafikia 20% ya exports

Kenya's top export yake ni tea ambayo thamani yake ni $2.6B kwa huo mwaka 2021, Sisi huku ni Gold ambayo inakaribia $4B, Wacha kudanganya watu, wewe ni mwongo Sana, ndio sababu unashindwa kuonyesha "real figure", badala yake unatumia maneno matupu.

Sasa weka data za total value of exports za Kenya 2022, tulinganishe na Tanzania
Sikuachi hadi ukubali kwamba Tanzania ndio dume la mbegu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shirikilia hapo hapo mpaka akuoneshe ng'ombe mwenye matege
 
Back
Top Bottom