ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,413
- 85,225
Bidding for Mpanda Karema Port Highway 112 km has been floated ,lot 2 Kwa pamoja.
Ninyi ndio zaidi, ona jinsi media zenu zonavyoiwaza Tanzania
www.capitalfm.co.ke
Umesema kitu cha maana sana, nimekuwa na mijadala na jamaa zangu kadhaa juu ya hii battle, wabongo wengi walikuwa na hii kasumba, aisee sasa ukianza kuwaambia ukweli wa mambo ulivyo wanabaki midomo wazi, kupitia huu uzi Wabongo wengi sana ‘tumeokoka’ na ulimbukeni wa kudhani nchi yetu iko nyuma sana, wengi sasa tunatembea kifua mbele kama tumepigwa ngumi ya mgongo😂😂😂Wakati huu uzi unaanza mwaka 2017 ilikuwa shida sn kuwaaminisha watu kwamba Tz ipo juu ya Kenya, tulipata tabu sana mpaka baadhi ya Watz walikuwa hawaamini kabisa, tena tulikuwa tunarumbana humu kweli kweli na Watz wenzetu waliokuwa hawaamini hilo, lkn kwa ss Wakenya ndio hawaamini kama Kenya yao ipo juu ya Tz, wamebaki Wakenya wachache hasa wa humu JF ambao ukweli wanaujua kwamba Tz ipo juu sana sema wanaona aibu kukubali japo tunaona wanakubali kupitia post zao zilizokata tamaa.
Bado ninyi ni watoto wadogo Sana kwetuVitu tulishaavizoea Kenya ndio mnaanzisha. Halafu mbona hizo zenu zinakaa ovyo ovyo hivi?
View attachment 2610447
Hizi ni uwanja ama jokes!!Hizo manispaa zote umetaja zina stadia since 70s, and nowadays individual teams are building their own stadia.. you can mention whatever municipal you know
Pics
1. Iringa stadium /Samora Machel stadium ( uwanja wa Lipuli FC)
View attachment 2610230
2. Singida Namfua Stafium , used by Singida big star fc. Hakuna team Kunyaland inaweza fikia levels za Singida big star
View attachment 2610231
View attachment 2610232
View attachment 2610233
3. Songea - Majimaji Stadium (used by Majimaji FC)
View attachment 2610234
4. Sinyanga - Kambarage Stadium
View attachment 2610238
5. Kagera - Kaitaba Stadium , Used by Kagera Sugar
View attachment 2610240
6. Mtwara - Nangwanda Sijaona
View attachment 2610241
Tarime sio manispaa
Sasa hii inahusianaje na kuiwaza Kenya?, Wewe huna akili, hilo neno Kenya limejitokeza kwasababu hiyo imeandikwa katika "Kenya forum hapa JF. Hakuna media ya Tanzania inayoandika habari za Kenya, labda habari mbaya za njaa, mauaji na vurugu za kisiasa
Lakini tuna gari 5k za umeme wakati ninyi hata 10 hazifikiVitu tulishaavizoea Kenya ndio mnaanzisha. Halafu mbona hizo zenu zinakaa ovyo ovyo hivi?
View attachment 2610447
Umeshindwa kupata data za export ya manufactured goods zenu Sasa umeamua kuanza kuokoteza picha za nchi za watu Ili kuziba pengo la "gap" kati ya Kenya na Tanzania sio?.Nairobi jacaranda bloom. Who can't fall in love with this? View attachment 2610162
Wewe bongolala your level of desperation is out of this world. I already gave you 2021 data which already shows we are miles ahead of you sasa scapegoat yako ni kutaka data ya 2022. What's so special about 2022 data bongolala? If we were ahead of you in 2021 despite Covid lockdowns ( while your country's economy was running coz there were no Covid restrictions) and everything, what makes you think you could be ahead of us in 2022 when our economy was already oppening up after Covid lockdown?Umeshindwa kupata data za export ya manufactured goods zenu Sasa umeamua kuanza kuokoteza picha za nchi za watu Ili kuziba pengo la "gap" kati ya Kenya na Tanzania sio?.
Yaani bila kudanganya kwa kutumia picha za nchi zilizoendelea huwezi Kenya haiwezi shindana na Tanzania?.
Endelea kuzunguka lakini bado ninasubiri data za "Manufactured goods exported 2022.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizo zao zinakaa petrol stations😂😂Vitu tulishaavizoea Kenya ndio mnaanzisha. Halafu mbona hizo zenu zinakaa ovyo ovyo hivi?
View attachment 2610447
Toa ujinga hapa bongolala. That was during installation before maua yapandwe. Ama unafikiri zingehanga kwenye hizo pillars kama popo bila support?Maua mliyatoa? nyie watu ni wapumbavu sn na washamba wa mwisho, huwa mnapenda decorations lkn kuzitunza hamuwezi kutokana na ukweli kwamba nyie hamko civilized![]()
ACHA KAMBA WWE APO SIO NAIROBI![]()
Bing
Intelligent search from Bing makes it easier to quickly find what you’re looking for and rewards you.www.bing.com
Mm kila siku nawaambia hua munaona kama nawaonea vile kwenye maneno 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja na hilo moja uende ukalitafakari vzr na ukiondoka usigeuke nyuma hata sekunde 😆😆😆😆Namba za gari zenu mmefika lini XZD!
Maisha yenu ni full uongo uongo pumbav.
View attachment 2610362