joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, Hydropower is far cheaper than all. Maana ya kujenga hizi dams kubwa ni Ili kuhifadhi maji mengi kipindi Cha mvua nyingi Kama hizi Ili hata mvua zisiponyesha tusipate madhara makubwa. Nyerere dam likijaa lote ni sawa na Miata za ujazo 30B. zinaweza kutupeleka misimu mitano bila mvua za kutosha.We arw over investing in Hydro Plants, tumesahau kwamba one fault na mvua zisipo nyesha ni jau.
Kinyerezi 3 and 4 had a proposed total capacity of 1025 MW .by Natural Gas .
Wind power in Singida
Geothermal in Mbeya
Kwenye PPP serikali lazima itumike Kama "Guarantor', Ili huyo muwekezaji aweze kukopa, lazima aonyeshe "Partner" wake ni nani na Kama huyo partner anakidhi vigezo vya kupewa pesa, otherwise hakuna sababu ya kuwa PPP Kama "Partner" hana obligation yoyote katika hiyo "Partnership".Huu ni mradi wa PPP serikali haina cent zaidi kidogo sana compensation za hapa na pale, huu mradi mwenye voluntary investing intention ni muwekezaji sio serikali na ni nafikiri muwekezaji ndio wa kwanza kuiapproach serikali sio serikali ilitafuta muwekezaji kwanza kama highway ya Kibaha Morogoro, yeye muwekezaji ndio kaona daraja la Dar to Zanzibar ni viable kuliko daraja la lake Tanganyika, apewe ushirikiano
Uzuri ni PPP, gharama zake hazituhusu kabisa wala halitawekwa kwenye national debts profile yetu ambayo itaweza kutupa debt distress outlook sababu ni mradi wa pesa nyingi mno ukilinganisha na GDP yetu!
Ushamba.
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Dah si mchezo, ila namuelewa, unapewa nchi haina hela, ina madeni alafu wanachi hawana hata ugali lazima uishe…..alafu mtu mwenyewe hata mtungi hapigi? Bora Uhuru akiona stress zimezidi anavuta zake bottle na kunyonga msokoto anapata usingizi like a school boy, kesho nayo ni siku na itajijua yenyewe
NB: Ukiwa Rais nchi zetu hizi na hupigi vitu thetu bora uwe kama Jk, don’t take things so serious…….utakufa![]()
😆😆😆😆
Bro issue ya kua kiongozi sio suala dogo, unaweza pewa kila kitu ukanyumwa jambo dogo tu furaha na afya na unakila kitu ukumbuke, uongozi ndugu yangu its not a joke ona tu hvi hvi na hasa uikute nchi ina fall from up to down kwenye speed ya 100km/hr hapo ndipo utajua balaa za kua uongozi infact naona ww utakua ni shabiki wa ruto 😆😆 but its good for uNadhan tunakosea, suala la afya ni very sensitive. Hilo ni wewe na kumuomba Mungu akujalie afya njema na si kumcheka mtu sababu ya kiafya. Lkn pia naona mnaliamgalia kwenye bad side. Mim huyu jamaa kuna mda nilimuona anafutuka sana kwa mda mfupi, what if ni plan yake na timu yake ya madaktari kutaka apungue..
Kibinadamu, huyu ni rais ana kila kitu (fedha, chakula, malazi mazuri) cha kumfanya anenepe, we just dont know the story behind ya kupungua hiv, it can be lack of peace of mind (uchumi wa nchi yake unadorora), ugonjwa or plan yake tu ya kutaka kupungua. Hata rais samia alikuaga mnene ila sahiz kapungua na inaonekana ndo good health alivyo saiz
ukiachana na point kubwa ya msingi uliosema lakini lingine hydropower ni aina pekee katika vyanzo vya umeme inayochochea shughuli nyingi za kiuchumi mbali na just kuzalisha umemeMkuu, Hydropower is far cheaper than all. Maana ya kujenga hizi dams kubwa ni Ili kuhifadhi maji mengi kipindi Cha mvua nyingi Kama hizi Ili hata mvua zisiponyesha tusipate madhara makubwa. Nyerere dam likijaa lote ni sawa na Miata za ujazo 30B. zinaweza kutupeleka misimu mitano bila mvua za kutosha.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
partnership ipo sababu huo mradi haujengwi hewani ni pesa tu ndio hatuchangii ila tunahusika kwenye nyanja nyingine zote ni kama free none diluted shares / free carried away shares tulizonazo kwenye migodi japo hatuchangii investing wala running capital!Kwenye PPP serikali lazima itumike Kama "Guarantor', Ili huyo muwekezaji aweze kukopa, lazima aonyeshe "Partner" wake ni nani na Kama huyo partner anakidhi vigezo vya kupewa pesa, otherwise hakuna sababu ya kuwa PPP Kama "Partner" hana obligation yoyote katika hiyo "Partnership".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sina Cha kuongeza zaidi ya "Kongole".ukiachana na point kubwa ya msingi uliosema lakini lingine hydropower ni aina pekee katika vyanzo vya umeme inayochochea shughuli nyingi za kiuchumi mbali na just kuzalisha umeme
fursa nyingine kubwa ni pamoja
1. fishing
2. irrigation schemes
3. water transportation
4. tourism
5. domestic water supply
6. floods control
7. forestry
8. carbon credit etc
Hakuna chanzo tofauti kinachoweza kuchochea shughuli zote hizi za kiuchumi
Nyoka ana take shape
WAKUNYANI nipo nimesimama apa mnipige mawe mtuonyeshe ule mtungi wenu ulitengenezwa wapi kama sio mchina aliwauzia mbuzi kwenye gunia......... kitu cha tz uwa tunachongesha kwa fundi cjui mnanielewa nyie... UGALI NATION..

Watu wengi wanaenda Dubai ni kwasababu Dubai ni business hub kubwa.Dubai inapokea mamilioni ya watalii kila mwezi na hawana vivutio vyovyote vya asili kama nchi nyingi zaidi ya desert safari, wanapokea watalii kwenda kushangaa architectural works, majengo marefu, man-made Islands, man-made fountains and other hi-tech works, hakuna mtalii atafika zanzibar/Dar asiwe na shauku ya kupita kwenye longest bridge in Africa, kama kusingekua na SGR line to DRC tayari kweli ningeishangaa serikali ila kwenye hili wasikilizwe, wana hoja