Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uliposema unanizidi kabla nikujibu hivyo ulijiuliza kama kweli unanijua? Wewe falamanga tu wa kitanzania kama walivyo wengi humu
Wewe mnuka mavi nakujua vzr watchman wewe hunitishi kwa lolote. Nina kazi nzr (white collar job) naishi pazuri, pia nina uraia wa kujivunia kwa hapa EA, mm ni mtz wewe ni mkenya, hilo pekee linatosha kujivunia.
 
Project Mpya ya Umeme Mto Malagarasi
Malagarasi 49 .5 na Kakono 87.5 mw Zinaenda kuongeza 137 MW to the grid, plus ku supply umeme Mikoa ya Kagera na Kigoma , haswa vijijini hii ita stimulate economy sana ujenzi, plus umeme wenyewe kuongeza economic activity , mabwabwa yataasaidia kwenye uvuvi hata kilimo ,

So ni multisector projects , ni miradi itayopelekea Tz kufika 5000MW in 2025 /26

Lakini on the other side tunajenga sana hydro while climate wise ikitokoea tu fault mvua hakuna , mabwawa yote yanashindwa ku produce to the capacity ..kwanini tusifast track project ambazo sio water dependnt

Kinyerezi 3 and 4 ni kama tumesahau kuifanya , Wind Projects , Geothermal ( tho its expensive ) .. Tunaendelea na hydro tu itakuja kutucost badae
 
Tutafika Mars wakati wao bado wanapambana na unga.View attachment 2602257
Dubai inapokea mamilioni ya watalii kila mwezi na hawana vivutio vyovyote vya asili kama nchi nyingi zaidi ya desert safari, wanapokea watalii kwenda kushangaa architectural works, majengo marefu, man-made Islands, man-made fountains and other hi-tech works, hakuna mtalii atafika zanzibar/Dar asiwe na shauku ya kupita kwenye longest bridge in Africa, kama kusingekua na SGR line to DRC tayari kweli ningeishangaa serikali ila kwenye hili wasikilizwe, wana hoja
 
Malagarasi 49 .5 na Kakono 87.5 mw Zinaenda kuongeza 137 MW to the grid, plus ku supply umeme Mikoa ya Kagera na Kigoma , haswa vijijini hii ita stimulate economy sana ujenzi, plus umeme wenyewe kuongeza economic activity , mabwabwa yataasaidia kwenye uvuvi hata kilimo ,

So ni multisector projects , ni miradi itayopelekea Tz kufika 5000MW in 2025 /26

Lakini on the other side tunajenga sana hydro while climate wise ikitokoea tu fault mvua hakuna , mabwawa yote yanashindwa ku produce to the capacity ..kwanini tusifast track project ambazo sio water dependnt

Kinyerezi 3 and 4 ni kama tumesahau kuifanya , Wind Projects , Geothermal ( tho its expensive ) .. Tunaendelea na hydro tu itakuja kutucost badae
Umesahau Rusuma nayo inakamilika mwaka huu
 
Tanzania Wakati mwingine Huwa tunafeli sana.
Vitovu ya Utalii ni Kanda ya Kaskazini Kwa maana ya Arusha na Zanzibar then Maonesho Makubwa ya Utalii Swahili Expo Yako organized Dar Sasa sijui hii ni nini..

Visitors wengi wa Kimataifa wanatumia KIA na Karune Airport
 
Dubai inapokea mamilioni ya watalii kila mwezi na hawana vivutio vyovyote vya asili kama nchi nyingi zaidi ya desert safari, wanapokea watalii kwenda kushangaa architectural works, majengo marefu, man-made Islands, man-made fountains and other hi-tech works, hakuna mtalii atafika zanzibar/Dar asiwe na shauku ya kupita kwenye longest bridge in Africa, kama kusingekua na SGR line to DRC tayari kweli ningeishangaa serikali ila kwenye hili wasikilizwe, wana hoja
Kama ni lazima kujengwa basi ni Bora t ujenge Daraja kama Hilo Kati Ziwa Tanganyika tuifikie DRC,huko itakuwa ni Utalii na Uchumi mwingine wa Usafirishaji
 
We arw over investing in Hydro Plants, tumesahau kwamba one fault na mvua zisipo nyesha ni jau.

Kinyerezi 3 and 4 had a proposed total capacity of 1025 MW .by Natural Gas .

Wind power in Singida

Geothermal in Mbeya
Bila kusahau Makaa ya Mawe Kiwira Kuna megawatt 200
Screenshot_20230427-192032_1.jpg
 
Kama ni lazima kujengwa basi ni Bora t ujenge Daraja kama Hilo Kati Ziwa Tanganyika tuifikie DRC,huko itakuwa ni Utalii na Uchumi mwingine wa Usafirishaji
Huu ni mradi wa PPP serikali haina cent zaidi kidogo sana compensation za hapa na pale, huu mradi mwenye voluntary investing intention ni muwekezaji sio serikali na ni nafikiri muwekezaji ndio wa kwanza kuiapproach serikali sio serikali ilitafuta muwekezaji kwanza kama highway ya Kibaha Morogoro, yeye muwekezaji ndio kaona daraja la Dar to Zanzibar ni viable kuliko daraja la lake Tanganyika, apewe ushirikiano

Uzuri ni PPP, gharama zake hazituhusu kabisa wala halitawekwa kwenye national debts profile yetu ambayo itaweza kutupa debt distress outlook sababu ni mradi wa pesa nyingi mno ukilinganisha na GDP yetu!
 
Back
Top Bottom