Kwenye Tweet uliyotuma mradi umesema ni PPP utakuwa under Build, Operate and Transfer, serikali haiweki hela, ni consent tu.
Tena inakuja kipindi kizuri sheria ya PPP ndio inasukwa. All good so far, msiogope, maendeleo ni inevitable…..the good thing is inapunguza depence ya usafiri wa aina moja. Alafu fikiria kuunganisha Dar na Zanzibar kwa maana ya kufungua utalii wa sehemu hizi mbili considering Zanzibar ni kisiwa na idadi ya watu inaongezeka. Hutamani tugawane watalii as wanaweza kuaccess sehemu zote kirahisi kama ambavyo Watalii huenda Manyara lakini wanalala Arusha? Think Big Brother, acha uoga.