ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,971
- 89,207
Sasa hivi wanajifariji na tumagorofa , unfortunately magorofa yameshindwa kuwaondolea njaaHapa naona wakenya wamebaki na kibwagizo kimoja tu. Ninauhakika kwa sasa wameukubali mziki wetu.
Poleni wakenya. Tunachowataka mseme: Tanzania babalao