ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Naona ni kama haya 👇👇Mwenye mfano wa double decker trains kama hizi atupie picha zake.. tuone design yake ilivyo kwa ndan au tuone clear pics
Naona ni kama haya 👇👇Mwenye mfano wa double decker trains kama hizi atupie picha zake.. tuone design yake ilivyo kwa ndan au tuone clear pics
usijihangaishe mzee hamna daraja la kwenda Zanzibar litajengwa! Hamna kampuni inaweza kuwekeza kwenye mradi kama huo! Zanzibar inahitaji ferries za kubeba magari makubwa na mizigo na si daraja!Mkuu, India inakusanya $15B kwa mwaka kutokana na "Medical tourism".
1)Tunahitaji $5B kujenga Hospitali 20 zenye ukubwa mara mbili ya Mloganzila/JKIC zenye vifaa vyote vya kisasa.
2)Tunahitaji zaidi ya $60B kujenga daraja la Dar - Zanzibar.
Kwa hali ya Tanzania hivi Sasa, lipi ni Bora kufanyika hata Kama ni PPP ukiangalia hiyo miradi miwili?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
barabara imeota ukurutu?
Kila upande ina design kama za daladala kubwa kwa mbele.. yan 'kuna mlango wa kuingilia unatenganisha sehem ya mbele dereva na sehem ya nyuma ya abiria'Naona ni kama haya 👇👇
View attachment 2603731
View attachment 2603734
View attachment 2603735View attachment 2603736
Hapana haya si yale ya EMU yani yenye locomotove engine! Haya ni mabehewa (passenger coaches) yatakayoendesha na kichwa tofauti! Huko mwishoni na mwanzoni ni ngazi na aidha sehemu ya kukaa mtu wa wheel chair au choo! Haya mabehewa kwenye picha hayana pantograph!Kila upande ina design kama za daladala kubwa kwa mbele.. yan 'kuna mlango wa kuingilia unatenganisha sehem ya mbele dereva na sehem ya nyuma ya abiria'
View attachment 2603745
Au kama hii ya mwisho kbsa chin upande wa kulia,
View attachment 2603746
Hakuna niliposema hayo ni emu.. nataka tu mwenye designs kama hizo za kwetu nione kulivyo ndan au nipate clear picsHapana haya si yale ya EMU yani yenye locomotove engine! Haya ni mabehewa yatakayoendesha na kichwa tofauti! Huko mishoni na mwanzoni ni either sehemu ya kukaa mtu wa wheel chair au choo!
hapa umemaanisha nini?Kila upande ina design kama za daladala kubwa kwa mbele.. yan 'kuna mlango wa kuingilia unatenganisha sehem ya mbele dereva na sehem ya nyuma ya abiria'
View attachment 2603745
Au kama hii ya mwisho kbsa chin upande wa kulia,
View attachment 2603746
Litakufa jitu toka kaskaziniUle mzigo wetu refubrished wa ghorofa unapanda meli tayari kutua Bongo.
View attachment 2603668
Design ya daladala na si trenhapa umemaanisha nini?
Ohk kama behewa lenye cabin ya dereva lazma cabin hiyo itenganishwe kwa mlango! Na dereva huwa anajifungia kama kwenye ndege!Design ya daladala na si tren
Source ? nashndwa kuona vizuriUle mzigo wetu refubrished wa ghorofa unapanda meli tayari kutua Bongo.
View attachment 2603668
yeah tofauti na Chalinze to Morogoro expressway ambapo serikali ndio ilitafuta clientKwenye suala la ppp hatuwez kumchagulia mwekezaji nini cha kufanya ila huo mradi wa medical tourism inafaa serekali kutafuta wabia tofaut tofaut ili kuhamasisha na ikishindikana basi walau waeke target ya miaka hata 10 kwenye hilo kupitia pesa za soft loan na ukiangalia medical tourism kwenye nchi zilizoendelea haziwez kukubali kuleta investment kama hzo wakat wao pia wanazihitaji hvo hvo
Always same photos. No new things from Kundustan.



haya nawasubiri pinga pinga dot com...wamechezea kichapo mno lately, hawana hamu na hii forum 😂😂😂