ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,247
Na wewe jiunge na wenzako wawili wote nitawapa dozi na usipende kudandia Kwa mbele mada ambayo hujui tulikoanzia..Wacha kutujazia page na mavitu yamekaa shule ya msingi! Hapo ni mkusanyiko wa vyuo visivyopungua nne!
Hivyo hivyo Vyuo sijui 4 au 35,Tanga havipo,Kila angle mtakayotafuta Mbeya itawapelekea moto kama kawaida.
