ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Safi sana, Serikali inawaheshimisha Polisi Wetu.
View attachment 2602701View attachment 2602702
View attachment 2602697
Safi sana, Serikali inawaheshimisha Polisi Wetu.
View attachment 2602701View attachment 2602702
View attachment 2602697
Hizo ni excuses tuu huku kwenye Vyuo Hutoweza , sehemu pekee Tanga inaweza walau kushindana na Mbeya ni kwenye magorofa..Sasa mzee tukienda hivi tutakuwa kama vichaa.
Tunaongelea suala la Vyuo wewe unarukia kitu kingine. Maliza kwanza issue ya vyuo maana umeianzisha mwenyewe. Usirukie kitu kingine. Sipendi upuuzi wa namna hii. Kama tunajadiliana jambo tujadili na tuelewane. Siyo mijadala ya namna hii ya kuruka ruka kama vichaa.
Wewe weka orodha ya vyuo vilivyopo Mbeya usione aibu.
Sasa hiyo orodha imeipitia vizuri?Hizo ni excuses tuu huku kwenye Vyuo Hutoweza , sehemu pekee Tanga inaweza walau kushindana na Mbeya ni kwenye magorofa..
List ya kwanza hii hapa Ina vyuo 18 View attachment 2602739
Kuna siku uliwahi acha excuses?Sasa hiyo orodha imeipitia vizuri?
County Government office in Nairobi is bigger than any State House in TanzaniaUtasema ni county government office ya nairobi kundustan 😆😆😆😆😆
Tuonyeshe ukumbi kama huu Nairobi state house au any state house in East Africa!County Government office in Nairobi is bigger than any State House in Tanzania
View attachment 2602757
Wacha kutujazia page na mavitu yamekaa shule ya msingi! Hapo ni mkusanyiko wa vyuo visivyopungua nne!Venus Star
19.Mzumbe University Mbeya Campus
20.Udsm College Ofa Health and Allied Science
21.Labour Training College,
22.Intitute of Construction Technology
23.Teofilo Kisanji University
24.Tunaini University Makumira Mbeya Centre,
25.Catholic University College of Mbeya
26.Moshi Cooperative University Mbeya Centre,
27.Chuo Cha Utumishi wa Umma
28.University of Dsm Computing Centre Mbeya Campus
29.Schoolo of Dental Therapist
30.Operating Theatre Management School
31.Uyole Health Science Institute
32.St.Aggrey Schools and College of Health Sciences,
33.Southern Highlands College of Health and Allied Science
34.Yohana Wavenza Health Sciences
35.Uwata College of Health Sciences and Hospital..
Hapo sijamalizaView attachment 2602789View attachment 2602765View attachment 2602766View attachment 2602767View attachment 2602768View attachment 2602769View attachment 2602770View attachment 2602771
Vyuo vya maana Tanga vipo Lushoto vya mahakimu Institute Of Judicial Administration na walemavu Sebastian Kolowa memorial university basi! Hii topic yenu ipotezeeni!Ngoja nikutoe tongo tongo tena.
Hii hapa ni orodha ya vyuo vilivyopo Tanga
HAYA HEBU WEKA VYA MBEYA
- Amo Training Centre Tanga
- Archbishop John Ramadhan School of Nursing
- Clinical Officers Training Centre Bumbuli
- Besha Health Training Institute
- Vector Control Training Centre
- Dental Therapists Training Centre Tanga
- Korogwe School of Nursing
- Tanga School of Nursing
- Augustine Muheza Institute of Health Sciences
- Tanzania Public Service College – Tanga
- Eckernforde Tanga University (ETU)
- Institute of Judicial Administration (IJA) – Lushoto
- Mabughai Community Development Technical Training Institute – Lushoto
- Livestock Training Agency Buhuri Campus – Tanga
- Eckernforde Tanga University (ETU)
- Ministry of Agriculture Training Institute Mlingano Tanga
- Kange Teachers College
- Songe Teachers College
- Popatlal Teachers College
- Arafah Teachers College
- Korogwe Teachers College
- Montessori Training Centre
- Tanga Education and Training Centre
- Rock College of Early Education
Sasa hapo upo sawa kweli kichwani?Venus Star
19.Mzumbe University Mbeya Campus
20.Udsm College Ofa Health and Allied Science
21.Labour Training College,
22.Intitute of Construction Technology
23.Teofilo Kisanji University
24.Tunaini University Makumira Mbeya Centre,
25.Catholic University College of Mbeya
26.Moshi Cooperative University Mbeya Centre,
27.Chuo Cha Utumishi wa Umma
28.University of Dsm Computing Centre Mbeya Campus
29.Schoolo of Dental Therapist
30.Operating Theatre Management School
31.Uyole Health Science Institute
32.St.Aggrey Schools and College of Health Sciences,
33.Southern Highlands College of Health and Allied Science
34.Yohana Wavenza Health Sciences
35.Uwata College of Health Sciences and Hospital..
Hapo sijamalizaView attachment 2602789View attachment 2602765View attachment 2602766View attachment 2602767View attachment 2602768View attachment 2602769View attachment 2602770View attachment 2602771
Hizi ndio highways tulikuwa tunaambiwa ni za kimataifa !!Made in Kenya bus ikiwa TangaView attachment 2602570View attachment 2602571
Then compare with kigamboni police building 👇👇😆County Government office in Nairobi is bigger than any State House in Tanzania
View attachment 2602757
Tukisema KDF sio jeshi ni genge la wahuni mnabisha
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila ninampongeza kwa hilo, vinginevyo angekufa kweli, hilo jeshi hakuna kitu linaweza kufanya.Eti anahofia usalama wake!
Sama boy 255 Venus Star
Any University in Tanga Region Kwa machoko to match with MUST in Mbeya pls
View attachment 2602679View attachment 2602680
Wewe una matatizo sana,kama umeshindwa Cha kuonesha kutoka huko Bush acha naona unatafuta pa kutokea..Sasa hapo upo sawa kweli kichwani?
Mara umaweka UDSM, Moshi University, Mzumbe University
Unamwongopea nani?
Pungunza mahaba ya kipumbavu.