Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoni tribe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

20230428_121317.jpg
20230428_121314.jpg


 
[emoji120][emoji120] Miradi ya hivyo Ina cost sana Maendelea ya Nchi,kama watajenga wajenge Kwa PPP

Wajenge wenyewe na wasitupe masharati yoyote kama nchi wala kututaka tuweke rehani chochote cha Mama Tanzania.

Wafanye upembuzi wenyewe na watuambie pesa yao itarudi baada ya miaka mingapi, tukiona miaka ni mingi sana tunakataa kama nchi.
 
Kwamba Kuna Mpango kabisa uko serious wa kujenga Hilo daraja? Hebu tuache kwanza hizi mambo jamani tufanye mambo mengine ya msingi.
Great idea, alternatives modes of transport, FDI flow ya kutosha, kodi before and after mradi……

Jengeni haraka, ondia ile terminal pale pajengwe cruize ship terminal ya kisasa kabisa kwa meli kubwa na ndogo kwa ambao watapenda kwenda Zanzibar kwa njia ya meli au water cruizing tourism.
 
Wakuu. Naomba nisaidie kujaza haya maswali machache kuhusu lubricants unazotumia kwenye gari yako kupitia hii link chini. Usisahau kushare kwa wenye magari

Niwakumbushe tena mnisaidie kujaza hapa.. pia, kama una jamaa au ndugu at least mmoja mwenye gari mtumie hii link hapo chin ajibu haya maswali manne tu (kwenye hio link hakuna sehem ya kuweka personal detail zako kama majina au email, ni majibu tu). Majibu yatakayotolewa yatasaidia sana kuelewa biashara ya lubricants hasa lubricants zinazouzika sana.
Zoezi nitalifunga leo usiku. Asante!

Wazee (wanazi) wa magari ichoboy01 , na wengine nawategemea sana

 
Niwakumbushe tena mnisaidie kujaza hapa.. pia, kama una jamaa au ndugu at least mmoja mwenye gari mtumie hii link hapo chin ajibu haya maswali manne tu (kwenye hio link hakuna sehem ya kuweka personal detail zako kama majina au email, ni majibu tu). Majibu yatakayotolewa yatasaidia sana kuelewa biashara ya lubricants hasa lubricants zinazouzika sana.
Zoezi nitalifunga leo usiku. Asante!

Wazee (wanazi) wa magari ichoboy01 , na wengine nawategemea sana

Haya tayar kaka 👇👇
Screenshots_2023-04-28-13-42-53.png
 
Project ni ppp kaka itachochea biashara mbali mbali bila kusahau utalii
Mkuu, hiyo kitu isiwe PPP kwa maana ya "Public Private Partnership", badala yake iwe PPP kwa maana na "Pure Private Project", Serikalini isiwekeze chochote kile, wajenge wenyewe na wafanye biashara Kama vilivyo viwanda vya Bakhresa na wachina wengina wanaowekeza nchini, labda serikali iwape ardhi na eneo la bahari bure.

Hiyo project ni gharama kuliko miradi yote Inayofanyika nchini kwa pamoja, kwa kipi hasa tunachokihitaji kukipata?, watalii wanaofika Zanzibar na Tanzania bara hutumia ndege kwa zaidi ya 90%. Hakuna justification yoyote kwa Sasa kujenga hilo daraja, usafiri wa maji kati ya Dar - Zanzibar ni mzuri Sana na unazidi kuboreshwa siku hadi siku, Kama Kuna pesa za ziada tuzimwage kwenye kilimo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hiyo kitu isiwe PPP kwa maana ya "Public Private Partnership", badala yake iwe PPP kwa maana na "Pure Private Project", Serikalini isiwekeze chochote kile, wajenge wenyewe na wafanye biashara Kama vilivyo viwanda vya Bakhresa na wachina wengina wanaowekeza nchini, Kabda serikali iwabe ardhi na eneo la bahari bure.

Hiyo project ni gharama kuliko miradi yote Inayofanyika nchini kwa pamoja, yaani, kwa kipi hasa tunachokihitaji kukipata?, watalii wanaofika Zanzibar na Tanzania bara hatumia ndege kwa zaidi ya 90%. Hakuna justification yoyote kwa Sasa kujenga hilo daraja, usafiri wa maji kati ya Dar - Zanzibar ni mzuri Sana na inazidi kuboresha siku Hadi siku, Kama Kuna pesa za ziada tuzimwage kwenye kilimo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii project nafkiri wao wenyewe ndio wanawekeza ila usisahau kua utalii unakua tanzania tuangalie miaka 10 ijayo ambako tutakua tunapokea watalii million 10 bila kua na inafastructures za kutosha ikiwemo hio bado itakua ni tatizo kubwa sana kwetu na pia tanzania uchumi unakua vile vile population inaongezeka siku hadi siku tusisahau hayo pia ila tu nimaoni yangu
 
Back
Top Bottom