ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Kenya ina vituko kuliko nchi yoyote duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenyatta akiwa kwenye maandamano [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha yanazunguka
Je wewe unanijua mimi mpk useme unanizidi?Siku hizi mko hadi na picha za watu msiowajua mmesave kwenye simu zenu? So desperate!
Narudia tena mtanganyika, wewe nimekuzidi kila kitu. Usilete ligi na watu usiowajua
Owned by TanzanianMade in Kenya bus ikiwa TangaView attachment 2602570View attachment 2602571
Me sijatumia hisia, nimesoma kwenye tweet uliyotuma mwenyewe, nilichofanya ni kuelezea tu economic benefits za mradi kwa upeo wangu, nadhani wewe ndio umeendeshwa na hisia zaidi labda sababu tu mradi huupendi. But so far nadhani tuko pamoja.Sio uoga Mzee,kama serikali haiweki pesa sawa ila kwenye uchumi Kuna issue ya opportunity cost na strategic and rational thinking,msipende kutumia hisia au Imani kwenye masuala ya Uchumi..View attachment 2602561
Wacheni upuuzi! Hivi mnajua Eurotunnel kati ya UK na France haijalipa mpaka leo?Kwahio,huo mradi wa daraja ujumuishwe na uienzi wa barabara unganishi.In a long term,mradi utalipa,na ni uhakika wa kupata mzigo.Zanzibar mzigo na traffic ni ndogo kufananisha na DRC