kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
wapi munajenga au munajenga hewani😀😀😀😀😀😀😀😀....i love renders
endelea kutapika povu😛😛😛😛😛😛

wapi munajenga au munajenga hewani😀😀😀😀😀😀😀😀....i love renders
endelea kutapika povu😛😛😛😛😛😛

VICHWA NGUMU HAWA BONGOLALA SANAshida yao ni kichwa ngumu...mtu anajua tu hawezani lakini bado anatishia tishia...niko sure hata wao wanajua hawawes mek...these niggas are suffering from chronic inferiority complex
NIKITAKA KUOGELEA NAENDA MOMBASA BWANA. TANZANIA NCHI YA UMASKINI ITANISAIDIA NA NINI?This is called Dar es salaam. Dogo unakaribishwa baada ya uchaguzi
![]()
![]()
![]()
![]()
THEY ARE RESTORING LAW AND ORDER IN A TROUBLED SOMALIA...THE THING THAT ONLY KENYA CAN DO IN EAST AND CENTRAL AFRICAWenzenu ni kule Somalia wanajeshi wanauliwa na alshabab kama sisimizi, hopeless KDF
NIKUELEZEE NINIHaya naona sasa umepata Wi-Fi
Karibu tena tuanze siku nyingine. Sasa wewe nieleze kuhusu hali hii:-
View attachment 616080
Toa maelezo hapa je, hapa ni wapi?NIKUELEZEE NINI
Haya naona sasa umepata Wi-Fi
Karibu tena tuanze siku nyingine. Sasa wewe nieleze kuhusu hali hii:-
View attachment 616080
KWANI UNAFIKIRI HUKU KENYA TUMEACHA KUJENGA?
This is a list of slums in Nairobi.
- Baba Ndogo
- Dandora
- Fuata Nyayo
- Huruma
- Kawangware
- Kangemi
- Kiambiu
- Kibera
- Gatwekera
- Kambi Muru
- Kangemi
- Kianda
- Kichinjio
- Kisumu Ndogo
- Laini Saba
- Lindi
- Makina
- Makongeni
- Mashimoni
- Mugumoini
- Raila
- Sarang'ombe
- Shilanga
- Siranga
- Soweto East
- Soweto West)
- Korogocho
- Majengo, Nairobi
- Matopeni
- Mathare
- Mathare Valley
- Mukuru kwa Njenga
- Mukuru slums
- Nyalenda
- Pumwani
- Ziwa la Ng'ombe
- Kenyatta University Slums
This report is very old, about seven years back, unfortunately as we speak, Nairobi is struggling to curb cholera outbreak and domestic water rationing
INAEZA KUWA NI MIAKA SABA NA BADO IKO HIVO NDUGUThis report is very old, about seven years back, unfortunately as we speak, Nairobi is struggling to curb cholera outbreak and domestic water rationing
Dogo njoo dar upate exposure kidogo.
Hapa ni Casino in Dar. Kama huna pesa tulia
![]()
![]()
![]()
![]()
Kawaida huwezi tumia report ya zamani kuzungumzia hali ya sasa, kwa mfano, miaka saba iliyopita Kenya haikuwa na njaa, leo hii watu takriban 5.5M wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame na sintofahamu za kisiasa, je utatumia takwimu zipi, za mwaka 2010 au hizi za sasa?INAEZA KUWA NI MIAKA SABA NA BADO IKO HIVO NDUGU
PICHA ZA MARAYA WATUEKEA ZA NINI? HII NDO MAENDELEO DARESLUMU?
SI UPOST REPORT YENYE INAONYESHA MUME IMPROVE BASIKawaida huwezi tumia report ya zamani kuzungumzia hali ya sasa, kwa mfano, miaka saba iliyopita Kenya haikuwa na njaa, leo hii watu takriban 5.5M wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame na sintofahamu za kisiasa, je utatumia takwimu zipi, za mwaka 2010 au hizi za sasa?
Miaka kumi iliyopita GDP ya Kenya ilikuwa $37B, sasa hivi inakaribia $70B, kwa nini usitumie ya zamani?, tafuta taarifa mpya utuletee usilazimishe mambo
Nilikushauri jana kwamba, jukwaa hili huwa tunatumia credible, reliable and acceptable sources, kama huna nyamaza au rudi huko kwenye forum za Kenya ambako watu wanazungumza mambo ya kufikirika bila ushaihidi wowote, hiyo information is outdated is not acceptable, sio jukumu langu kukutafutia silaha ya kunipigia, it will be suicidal.SI UPOST REPORT YENYE INAONYESHA MUME IMPROVE BASI