Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

421a79a67d17d3e4240412ac44d64d10.jpg
Chuma cha mjerumani hicho, mataruma haya yana miaka zaidi ya100.
 
Haya mafupi, 16 floors, Kama umegundua upande huu along Bagamoyo road kuna majengo mazuri sana sema mafupi, angalia kuanzia pale airtel, hata kule mwanza mwa Ali Hassan Mwinyi road kuna jangid, halafu faykat, Airtel, Paloma park, Tanre tower, spanish tiles, Tanzanite park na hayo hapo noble victoria, ni majengo mazuri sana na unique kwa design sema mafupi.
Yeah yote yana design nzri sana
Ata hilo nimeona mchoro wake mzur sanaaa
Kama ni 16flr wamezingua
 
what Tanzania celebrates today, Kenya probably had it 5 years ago be it roads, skyscrapers among other things

only 5,i though it was 50 .now it like to say your abt 5 years ahead from tz.

Only five.

Mitazamo yetu kama nchi ni tofauti na yenu, sisi tumefanikiwa katika kutengeneza mfumo wa utu na ustaarabu, ndiyo maana siasa kwetu siyo vita. Majengo marefu au barabara havikuwa vipaumbele kwetu hapo awali.

Ninyi mliingia kichwa kichwa mkidhani maendeleo ni vitu badala ya watu, matokeo yake ndiyo haya kila uchaguzi roho ziko juu juu. Huwezi kuwa na katiba nzuri wakati watu wenyewe hamjastaarabika. Wenyewe wanasema, "putting the cart before the horse". Akili za nyumbu hizo, kufuata mkumbo bila ya kufikiri.
 
Haya mafupi, 16 floors, Kama umegundua upande huu along Bagamoyo road kuna majengo mazuri sana sema mafupi, angalia kuanzia pale airtel, hata kule mwanza mwa Ali Hassan Mwinyi road kuna jangid, halafu faykat, Airtel, Paloma park, Tanre tower, spanish tiles, Tanzanite park na hayo hapo noble victoria, ni majengo mazuri sana na unique kwa design sema mafupi.
Mkuu hilo eneo kuanzia mataa ya tbc mpaka salander,huwa kuna vitu great sana,majengo mafupi lakini yako makini.napendekeza kuondolewa kila kajengo kachovu wenye mitaji yao wafanye kweli.

Ni mtaa pekee nikipita naifeel dar.
 
Mkuu alisahau yeye anadhani mji kiwango sharti uwe na flyovers basi.
Tukiwaambià bongo inapumua kwa kasi nyuma yao wanamind.
Hao viumbe wana chuki mbaya na wivu mkubwa sana dhidi ya bongo ndio maana hata kigamboni bridge walisema lipo kenya ,kila kizuri cha TZ wanatamani kiwe chao
lkn hawajielewi ndio wanapiga kelele wangejua wasinge piga kelele
Bongo ndio kila kitu wakubali wasikubali tuta dominate economy power ktk EAC very soon
Wangejua kukosa umakini kwa viongozi wetu waliopita kuliwapa jeuri,
ndio maana ikawa ni nchi ya pili duniani kwa kuuza Tanzanite watambue kwa sasa hayo na mwengine Its over.
 
mngefanya hilo miaka mitano iliyopita....ila mshachelewa..poleni ndugu zangu
upload_2017-10-23_22-24-44.png
upload_2017-10-23_22-25-8.png
upload_2017-10-23_22-24-44.png
upload_2017-10-23_22-25-8.png
 
yaani uchumi wa Kenya ni uchumi wa Tanzania plus Uganda combined...lol!! these niggas though😀😀😀🙄🙄🙄 we aint in the same level
UG GDP=25B
Tz GDP=47B
Kenya=70B
Sisi ndo Babayao...nawapa wimbo kwa ajili ya hayo

Just matter of time na usidanganyike na michoro hiyo kuna mambo yanapigwa na hayapo kwenye records kwa taarifa yako,
Leo hii ukiulizia nchi yenye nguvu za kijeshi ktk east Africa utaletewa vimichoro vyao vya kipuuzi kama hvy alafu watu wanakenua
Wewe
Tambua hii dunia ni nyengine na ogopa nchi yenye damu ya kijamaa wanakuwa na kitu usiri mkubwa ktk mmb nyeti,
Kumbuka mmarekani aliongea nini khs N Korea na matokeo yake ilikuwa nini?
Umeaahau ,
Khy nimekupa mfano achana ni huo upuuzi wa michoro kigezo cha nguvu ya uchumi ni uhalisia wa maisha ktk pahala husika
Kama hiyo michoro ingekuwa na ukweli basi uchumi wenu ungekwenda kwa kazi ktk EAC
Lkn SI hvy Tanzania ni kila kitu kubali usikubali .
 
porojo za kipumbavu na hadithi za abunwasi....nimechoka baada ya sentensi mbili...nawe upende usi[pende..Kenya ndio economic giant ukanda huu..the whole world knows that...hakuna kitu mnaeza tuambia mabongolala wa Tanganyika...tuko mbele yenu na mbali sana
 
Mtakuja kua na BRT lini?
BRT waitoe wapi?...ardhi ya kenya karibia yote inamilikiwa na matajiri wachache...kupitisha BRT itahitaji fidia kubwa pengine mara tano ya bejeti ya mradi.

tz ardhi karibia yote inamilikiwa na serikali....ndio maana ni rahisi kuanzisha mradi wowote mkubwa sehemu yoyote nchini na ukafanikiwa.
 
hahaha leo nawatch fellow Kenyans wakipasha wana LDC kwa mpigo...one Kenyan vs 20 bongos at a time.
 
what Tanzania celebrates today, Kenya probably had it 5 years ago be it skyscrapers among other things

Lol wakati Juzi tumewafumbua macho, yaani hata baada ya kumaliza Kuchimba mafuta hapo Pinnacle 1&2, Montave 1& 2 Bado mtakua mnatembelea kichhwa Kwa Dar interms of Highrises , eti mmefanya Miaka mitano iliyopita, what a shame , Hata hizo Flyover zingine Bado hamjamalizia landscaping na Tayari sisi Kurasini interchange done na Tazara 70% done , Ubungo Interchange taking shape . Yaani sasa hivi mmebaki na mapishi ya GDP tu. Ambayo huwa inajibu kila swali na kila battle. Hata kitu kinahusu nzi jibu lake litakua GDP ya Kenya bilioni sabini . Sasa unajiabisha mmetupita Miaka mitano ya maendeleo?

What a shame for a capitalist , Business minded nation , Bado linapumulishwa na Machine na Nchi mnayoicheka kila siku Kwa sababu hamjui lolote kuhusu Tanzania.
 
ujinga na upuuzi...haibadilishi ukweli...Kenya ndio inaongoza ukanda huu...wengine mnafata...yaani mikia...EAC economic giant Kenya
 
Back
Top Bottom