Lol wakati Juzi tumewafumbua macho, yaani hata baada ya kumaliza Kuchimba mafuta hapo Pinnacle 1&2, Montave 1& 2 Bado mtakua mnatembelea kichhwa Kwa Dar interms of Highrises , eti mmefanya Miaka mitano iliyopita, what a shame , Hata hizo Flyover zingine Bado hamjamalizia landscaping na Tayari sisi Kurasini interchange done na Tazara 70% done , Ubungo Interchange taking shape . Yaani sasa hivi mmebaki na mapishi ya GDP tu. Ambayo huwa inajibu kila swali na kila battle. Hata kitu kinahusu nzi jibu lake litakua GDP ya Kenya bilioni sabini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa unajiabisha mmetupita Miaka mitano ya maendeleo?
What a shame for a capitalist , Business minded nation , Bado linapumulishwa na Machine na Nchi mnayoicheka kila siku Kwa sababu hamjui lolote kuhusu Tanzania.