Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MI NILIKUAMBIA HIZI SHIDA ZINAKUJA KUWAPATA SIKU ZA USONI NI VILE SAA HII BADO NYINYI HAMJAAMKA.SISI PIA TULIKUWA KAMA NYINYI. TULIKUWA CHINI YA CHAMA TAWALA KANU HALAFU TUKAJA TUKAIONDOA.LEO HII NYINYI BADO TU MNATAWALIWA NA CCM BADO HAMFUNGUKI MACHO.PILI, WAKATI SISI TUNAPANGA KUWA A FIRST WORLD COUNTRY, NYINYI MNASEMA OOH ATI DAR SIJUI IKO NA HOTELI NGAPI.UNAONA?HATA YOUR THINKING IKO TU NYUMA SANA.
Jamaa analazimisha kuku kuwa mwewe..
 
OOPS! NIMEKUPITIA ON THE WRONG SIDE? POLE.UNAEZA NITUSI MPAKA KESHO LAKINI BADO UKWELI NI KUWA TUKO MBELE YENU KWA KILA KITU
ad7c47ebe139c573ec4a1b62d9b91457.jpg
 
Mtani.. mpe training ya kutosha mwenzio hajui anafanya nini humu.. meanwhile nipo Nairobi haya ninayoyaona na kuyasikia mpaka naogopa kwa kweli.
nairobi hali ya usalama si shwari....mda si mrefu hawa wakora wa jf watatoweka na kukimbilia ushago kwao.
 
ANYWAY KUBISHANA NA MTANZANIA NI BURE.NI KAMA KULAZIMISHA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO. KIDOMO MUNGU KAWAPA KWELI.SEE YOU TOMOROW
 
hahaha...you have been here since the first day this thread was created but yet you haven't showed anything new to beat us....
I beg to differ... have mentioned a lot of stuff...one example is Nairobi's hub status position in East Africa...ama pia hilo utapinga??
 
Back
Top Bottom