Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ANYWAY KUBISHANA NA MTANZANIA NI BURE.NI KAMA KULAZIMISHA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO. KIDOMO MUNGU KAWAPA KWELI.SEE YOU TOMOROW
This is called Dar es salaam. Dogo unakaribishwa baada ya uchaguzi

dar-es-salaam-beach-waves.jpg

562470_31_z.jpg

55898a6c0727f237956149wzb4f25a-1437495286-jMTV-medium.jpg

fixedw_large_4x.jpg
 
BUDA HAWA WATU SI WA LIGI YETU
shida yao ni kichwa ngumu...mtu anajua tu hawezani lakini bado anatishia tishia...niko sure hata wao wanajua hawawes mek...these niggas are suffering from chronic inferiority complex
 
hongera "msee" kuvizia free Wi-Fi kwa CBD.
mbona unalenga point...what does WIFI have to do with Nairobi's hub status? lol! lakini leo sina mood ya argument...acha nipitie pitie thread zingine niangalie...
 
shida yao ni kichwa ngumu...mtu anajua tu hawezani lakini bado anatishia tishia...niko sure hata wao wanajua hawawes mek...these niggas are suffering from chronic inferiority complex
Hii uoga mko nayo wakenya juu ya tz itawaua.

Tz haijawahi pata kitete juu ya kenya,ni kama mmetangulia na baiskeri ya barafu alfajiri msijue jua litachomoza iyeyuke.
 
Fulk Al Salamah arrived at the Dar es Salaam Port today from Zanzibar

DMR2gQgWsAEZ0Iq.jpg

DMR2lYsW0AAEnHn.jpg
 
Fulk Al Salamah arrived at the Dar es Salaam Port today from Zanzibar

DMR2gQgWsAEZ0Iq.jpg

DMR2lYsW0AAEnHn.jpg
nafikiri kwa sasa hao waarabu wa omani na meli yao wapo mombasa ....but first destination yao ilikuwa tanzania(zanzibar and dar) they have stayed here for about one week or so.
 
ANYWAY KUBISHANA NA MTANZANIA NI BURE.NI KAMA KULAZIMISHA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO. KIDOMO MUNGU KAWAPA KWELI.SEE YOU TOMOROW
Naona unaelekea home kwako kibera , utakuwa offline ulikuwa unatumia free WiFi ya town kesho tena ukiwa na access ya free WiFi
 
meanwhile
e1c07492fc95717c2237a774398fc225.jpg
36046162aca9e6cbe1911b7f18001c6f.jpg

japo huwa mnatuita LDC, sisi hatuna chuki nanyi...tunawapokea kwa upendo na amani....karibuni LDC,mje mpate hifadhi kufuatia hali tete ya siasa za huko kenya.
 
Naona unaelekea home kwako kibera , utakuwa offline ulikuwa unatumia free WiFi ya town kesho tena ukiwa na access ya free WiFi
unanivunja mbavu spensa.....

kumbe povu lote lile alikuwa yupo mitaa ya CBD akitumia public Wi-Fi.... smh
 
MI NILIKUAMBIA HIZI SHIDA ZINAKUJA KUWAPATA SIKU ZA USONI NI VILE SAA HII BADO NYINYI HAMJAAMKA.SISI PIA TULIKUWA KAMA NYINYI. TULIKUWA CHINI YA CHAMA TAWALA KANU HALAFU TUKAJA TUKAIONDOA.LEO HII NYINYI BADO TU MNATAWALIWA NA CCM BADO HAMFUNGUKI MACHO.PILI, WAKATI SISI TUNAPANGA KUWA A FIRST WORLD COUNTRY, NYINYI MNASEMA OOH ATI DAR SIJUI IKO NA HOTELI NGAPI.UNAONA?HATA YOUR THINKING IKO TU NYUMA SANA.
Do i have to reminds you what thread is all about? Battle means you compare everything in both sides. ...Big cities must have international standards hotels ,restaurants and shits like that...
Back then 2013 you were ldc how comes you think like a member of BRICS to attain status of developed state now? Don't you fool anyone that you're so developed we know you pal don't poison urself. ..
We cannot battle with South Africa not you kunyaa
 
Back
Top Bottom