Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikushauri jana kwamba, jukwaa hili huwa tunatumia credible, reliable and acceptable sources, kama huna nyamaza au rudi huko kwenye forum za Kenya ambako watu wanazungumza mambo ya kufikirika bila ushaihidi wowote, hiyo information is outdated is not acceptable, sio jukumu langu kukutafutia silaha ya kunipigia, it will be suicidal.
OUTDATED AJE? SI U PROVE
 

Attachments

  • uap.jpg
    uap.jpg
    66.8 KB · Views: 56
OUTDATED AJE? SI U PROVE
Kama hukusoma shule kiwango cha kufanya reserches na kuandika reports mbalimbali, sio jukumu langu kukufundisha kwamba ni miaka mingapi nyuma reference yako itakubalika, ni jukumu lako kulijua hilo, huku ni high voltage discussion, hatutaki watu wasio na elimu ya kutosha kama wewe.
 
Interms of floors
Hakuna skyscraper refu kama TPA(40fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kenya kama PSPF A(35fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kama PSPF B(35Flr)
Hakuna janjajanja za minara apa
Af kumbuka TPA Ina 178M( 40fl, each floor is 4.5m, 40 × 4.5 =180, errors plus extertion ni 178M, nyie wakenya cjui nadhan each flr ni 3M, cjui mnatuchukulia si watz ni vidwaff) na apo ni bila mnara
Endeleeni kuimba
YOU ARE TALKING OF 178 M? SAA HII THE SECOND TALLEST BUILDING IN AFRICA IS BRITAM TOWER(200M) IS IN KENYA, YENU NI PSPF TOWER AMBAYO NI 153M.
 
Kawangware Slums Nairobi Kenya

upload_2017-10-24_13-49-0.png


image.jpg


4498257354_255a386e2b_b.jpg
 

Attachments

  • upload_2017-10-24_13-49-55.jpeg
    upload_2017-10-24_13-49-55.jpeg
    12.1 KB · Views: 28
uzuri sisi hupiga picha za sehemu zetu duni unlike you hapo tz...mnapiga tu places poa poa.
 
nilidhani 10-20 yes ago...kumbe 5!!...
Hakika nyie ndio mabongo lala ati kwakuwa mlitangulia kuwa na majumba marefu ndio mmeendelea,
Mbona China ilitanguliwa na Europe na USA lkn as imeziacha?
Kweli nchi yenye maendeleo ni VP hata chakula kinakuwa shida na ghali cost of living iko juu mpaka ukija bongo jamaa zetu wa Kenya mpk wakuagizie sukari,dawa za mswaki n.k its a shame unapodai MNA uchumi mzuri mnajidanganya ati dunia pia unajua ,
Ungejiuliza kitu kimoja Kenya inaongoza na inajulikana ni no. 2ktk dunia kwa kuzalisha na kuuza Tanzanite na wazungu wanaqmini hvy hawajuinkuwa wana deal na majambazi wanaoiba Mali za majirani ZAO bila ya kulipa kodi,
Khy hiyo ndio hali halisi usijidanganye kwa records za wazungu na za kwa mitandao ,
Uhalisia ndio kila kitu
Waswahili wakwambia kutangulia SI kufika
Hata NAKUMAT ISHAFILISIKA imenunuliwa na tajiri mtoto wa Tanzania kanji,
Rihino hiyo hayo nearly to bankrupt hayo pia mtatuuzia nyie lakini kujisifu tunaongoza
Always mungiki akicheza fare game na mbongo lzm mungiki abonyezwe.
 
Back
Top Bottom