Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani bila kutuletea hiki kitu vingine vyote tutaona porojo tu, ama wameenda kutembea picknick Korea.
Gyeongbu_Line_ITX-Saemaeul.jpg
ITX-Saemaeul.jpg
ITX-Saemaeul_train.jpg
 
Yaani bila kutuletea hiki kitu vingine vyote tutaona porojo tu, ama wameenda kutembea picknick Korea.View attachment 2599706View attachment 2599707View attachment 2599708
Unayoona kwenye tweet/link hapo ni ya mizigo (cargo)
Ambayo ni hii
Hyundai-Rotem-800.jpg

Angalia inavyofanana na hii kwenye tweet (ya kwetu)
20230425_211805.jpg

Uliyopost ni EMU (bullet/joka), za abiria
Screenshot_20230425-172731.png

Twist post, huyo jamaa wa kushoto, Gelasius alikuwaga RC mtwara, naona saiz ana kitengo TRC
Na huyu mwingine chin, Kafulila alikuwaga mbunge & RC, naona saiz ana kitengo MoFP
 
kila mkenya ana ndoto ya kutembelea Tanzania [emoji28][emoji28]

Kutembea ni sawa…. Even me i visit from time to time lakini hilo halina maana yoyote on the economy comparison hata nikiwa mchanga used to visit my neibour friend whose parents were not all that well financialy but nilikua napenda kuenda kula huko sana… hadi nilikua nachapwa viboko not to to go there but najikuta huko huko [emoji4]
 
Mbona msiwe obsessed kiasi hicho na Somalia, Sudan your peers? why Tanzania?
 
Back
Top Bottom