joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hamna umuhimu wowote ukanda huu, kuna kitu muhimu duniani kama petrol? what if leo Dar ipo kwenye machafuko shutdowned completely, nini kitatokea kwenye haya mataifa?, Nairobi hata isiwepo kabisa duniani hakuna chochote kitachoharibikaEast Africa's most important CityView attachment 2597714View attachment 2597715View attachment 2597716View attachment 2597717View attachment 2597718
Sio kumiliki tu maeneo makubwa hivyo angali wao ni wananchi wa kawaida, kubwa zaidi ni wao ambao ancestral land yao ni zaidi ya kilometers 500 mbali na hapo wanamiliki Ardhi kubwa hivyo kwenye eneo ambalo sio asili yao, kunyaland huwezi mkuta mkisii anamiliki ardhi kubwa hivyo kwa mkikuyu, neverKitu kizuri mumeona jinsi wananchi wa chini kamili(wakulima na wafugaji) wanamiliki Ardhi kubwa Sana, kuanzia hekari hamsini na kuendelea, Kenya 70% ya raia hawamiliki Ardhi, wanakodishiwa na mabwenyenye.
Simba ni lidude likubwaaaaaaaa sana hatuchezi ligi ya vilaza ambapo maiti inazika maitiFala sana wewe hiyo Wala haitamsaidia kuepuka kichapo Cha 5![]()

Hamna umuhimu wowote ukanda huu, kuna kitu muhimu duniani kama petrol? what if leo Dar ipo kwenye machafuko shutdowned completely, nini kitatokea kwenye haya mataifa?, Nairobi hata isiwepo kabisa duniani hakuna chochote kitachoharibika
View attachment 2597785
😁😁😁😁😁😁 Ndo umesalia kujifariji hivyo si ndio? 😂😂Simba ni lidude likubwaaaaaaaa sana hatuchezi ligi ya vilaza ambapo maiti inazika maiti![]()
Production has faltered
Hata mjerumani anainyapia sana hiyo opportunity pamoja na China, Germany anatoa misaada ya kufa mtu JWTZ nafikiri ndio anaongoza kwenye foreign contributions, saivi anajenga hospital kubwa sana ya kijeshi DomNje ya mada,
Katika vitu Mmarekani na wenzake wanaomba itimie kwenye ndoto zao ni kupewa ruhusa ya kujenga military base yake hapa Tanzania ila ndo hivyo tena HAIWEZEKANI, hatuwezi ruhusu huo uzwazwa.
Imagine unakuwa na military base kwenye nchi iliyopakana na nchi nane!
Huo ndio ukweli wapinzani wa Simba ni hawa Wydad, Mamelodi Al Ahyl, Esperance, Raja etc sasa compare na wapinzani wa Uto ambao ni Rivers united, Amazulu, Asec Mimosa etc nadhani utakuwa umepata picha nzuri kuhusu hili lidude likuuuuubwaaaaNdo umesalia kujifariji hivyo si ndio?
![]()

Ni noma! 🔥 🔥 🔥 Bado train za mjini na phases zake! Mkwala unaanza toka Tegeta mpk Posta mjini reliNa bado mtu anakwambia Mombasa itafikia Darhuo ni uthubutu wa aina gani
1. BRT Phase 3 hapo bado na i hope watabadilisha staion design
2. BRT phase 4 and 5 will be u/c next year phase 4 tegeta road , phase 5 ni Nelson mandela, parts of tabata na Sam Njuoma road .
Phase 6 bado bado .Plan ni kumaliza zote before 2030 ili kuaanza construction ya elevated rail
3.Indoor Stadium 15k capacity , sijajua itajengwa maeneo gani
4. New Jangwani Bridge
5. Msimbazi river basin development project
6. Flyovers kwenye intersection 8 mpya
Hizo zote ni goverment related bado private
1.East Africa Commercial Logistics centre 75,000sqm largest mall or commercial centre EA nzima it is u/c
2. Shifa Pan African Hospital 60mil usd facility with 240 beds View attachment 2597633View attachment 2597634View attachment 2597635View attachment 2597636
On top of that Tunaenda kuwa namba 3 Afrika Kwa GDP growth mwaka huu averaging 5.6%Tanzania is the only country in East Africa to have B2 positive in Moodys ranking and among 5 countries in Africa.
View attachment 2597873MOODY’S TZ B2 RATING: Samia open policy pays off - Daily News
TANZANIA is the only East African country to get B2 Positive credit from Moody’s rating, thanks to the on-going business environment improvements, which has been welcomed positively by the bourse. The country received a B2 Positive rating that was higher than Kenya, Rwanda and Uganda, which were...dailynews.co.tz