Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivo umekubali Watanzania wanapenda taarifa za Kenya ndio maana munashinda mkizireport?
Hakuna chombo Cha habari Cha Tanzania kiachoripoti taarifa za Kenya, labda zile taarifa mbaya Kama fujo na ghasia za kisasa, njaa, bandits, ukabila na terrorism.

Onyesha media yoyote ya Tanzania ambayo inaweza kureport mambo ya ndani ya Kenya Kama hivi.
 
Not my words bongolala. Ni taarifa ya serikali yenu kupitia mkuu wa wilaya ya Bariadi. Your beggars have invaded our streets. However much you deny this but it's the truth and I know it hurtsView attachment 2599216
Hii ni issue ya human trafficking kuna kenyans and Tanzanians collaborators. The physically challenged people are being exploited by lazy Kenyans against their will. This is very bad worse enough these are innocent kids.
 
Dar 1  1763.jpg
 
Hakuna chombo Cha habari Cha Tanzania kiachoripoti taarifa za Kenya, labda zile taarifa mbaya Kama fujo na ghasia za kisasa, njaa, bandits, ukabila na terrorism.

Onyesha media yoyote ya Tanzania ambayo inaweza kureport mambo ya ndani ya Kenya Kama hivi.

Hizi zenye munashinda Nazo humu mmezipata wapi? Halafu sio vyombo tuu, hata nyinyi wenyewe. Hadi vyombo vya Kenya mnavifuatilia. Hutowai pata Mkenya akiwatch TV ya Tz.
 
Do you even know why UN HABITAT offices are in Nairobi?

Because Nairobi is the world capital of unplanned settlement hence the need for UN HABITAT offices.

As a matter fact Nairobi serves as a laboratory for UN HABITAT implemented policies and strategies.
Based on your mentality, reason FAO is in Rome is because Italy is food insecure.
 
Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.

Duuhhh aisee Wakenya ni mbwa sana, juzi mtu alimwekea sumu mpenzi wake akawa anamrekodi akifa, leo nmeona live mama akimdunga visu mwanaye wa kuzaa, mashetani sana hawa Wakenya, 99% wana magonjwa ya akili kutokana na ugumu wa maisha huko kwao, hata hawa wa humu ukiangalia vzr reasoning zao utagundua something went wrong with their heads.
 
Back
Top Bottom