babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,738
Huko kwenu zinafanyika ila haziwezi trend maanake hakuna anayefuatalia yanayotendeka huko.
“Hata njaa ipo Tanzania lakini juu media hazireport huwezi jua”
Nilishangaa kuona media zenu kubwa ikiwemo television ya taifa zina report hadi udaku wa wasanii wa Bongo.