Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,791
Nimeshangazwa kuona hii habari ambayo ni "domestic news" kutangazwa na media za Kenya, Sasa habari Kama hii raia wa Kenya inawahusu nini?
ramli chonganishi!
Nimeshangazwa kuona hii habari ambayo ni "domestic news" kutangazwa na media za Kenya, Sasa habari Kama hii raia wa Kenya inawahusu nini?
Nimeshangazwa kuona hii habari ambayo ni "domestic news" kutangazwa na media za Kenya, Sasa habari Kama hii raia wa Kenya inawahusu nini?
Kiongozi sina cha kuongeza!Noma sana siku hiyo nimeshuka kwenye gari ya ofisi nikatembea kwa mguu toka veta chang'ombe mpk city center kupitia bendera tatu sio poa ujue! Nimeshudia flyover ya chang'ombe finishing kazi ikiendelea pale chini, aisee lile daraja la pale krb na makao makuu ya PUMA hizo divergence chini SGR kuelekea bandarini matata mno! mbele kidogo Tanzanite Terminus watta view noma sana! aisee ukisimama pembeni ya station utasema jiwe limeanguka kutoka angani likakita chini precise angles huku brt station ya aina yake haziko mbali, in between eneo limeachwa huru kwa ajili ya movements hakuna vumbi hata kwa bahati mbaya!!!!!.Nimemsikia manager wa TARURA anasema DMPD 2 inakuja kufanya facelift kwa barabara za city center sio poa, kule una flyover moja safi inaingia town plus park ya maana kabisa pale Jagwani, then BRT 2,3&4 zinasafisha major streets kama Sokoine, Bibi Titi, Azikiwe, na Mnazi Mmoja, and then DMPD inalift minor streets, noma sana. Kuna watu nawaona wanatamani waombe radhi kwa kugalagala kwenye matope kwa matusi wamekuwa wakitutukana.
Na bado mtu anakwambia Mombasa itafikia DarKiongozi sina cha kuongeza!Noma sana siku hiyo nimeshuka kwenye gari ya ofisi nikatembea kwa mguu toka veta chang'ombe mpk city center kupitia bendera tatu sio poa ujue! Nimeshudia flyover ya chang'ombe finishing kazi ikiendelea pale chini, aisee lile daraja la pale krb na makao makuu ya PUMA hizo divergence chini SGR kuelekea bandarini matata mno! mbele kidogo Tanzanite Terminus watta view noma sana! aisee ukisimama pembeni ya station utasema jiwe limeanguka kutoka angani likakita chini precise angles huku brt station ya aina yake haziko mbali, in between eneo limeachwa huru kwa ajili ya movements hakuna vumbi hata kwa bahati mbaya!!!!!.

huo ni uthubutu wa aina ganiChoiceVariable njoo ujifunze Tanga wewe .. home sweet home 👇.
Daa Tanga ni kubaya aisee yaani hii ndio Barabara Kali 😁😁😁😁.Umeona ukimbilie huku.? High way zipo kila mahali hapa Tz bro 🤣🤣.. 👇TangaView attachment 2597547View attachment 2597549View attachment 2597550
Sama boy 255 aione kwenye jaladaSongwe Airport New Terminal Building
Sijajua Annual capacity yake
Lakini looks to be around 500k to 1million passengers
Mbeya recently inapokea A220s means kuna alot of passengers na wengne wana book siku nyingne wanakosa same day flights , i think A220 nyingne zikirudi ina potential ya kupata A220 double daily kama mwanza .
Kuhusu International passengers bado bado, hata Mwanza haijaweza kupata scheduled za maana maybe Cargo kama tukiwa serious
Apron inatosha ku fit hata A220s 3 na dreamliners as i see View attachment 2597650
Sasa unalia nn.Dar isipochunga mombasa infrastructure itawafikia wacha waendelee ku focus na mifupa wanarushiwa thinking the negative Kenyan things they see online is stoping Kenya from doing other import nation building stuff
Usijali wameona watanzania wanatazama sana news za kenya kushinda wakenya wenyeweNimeshangazwa kuona hii habari ambayo ni "domestic news" kutangazwa na media za Kenya, Sasa habari Kama hii raia wa Kenya inawahusu nini?
Kitu kizuri mumeona jinsi wananchi wa chini kabisa(wakulima na wafugaji) wanamiliki Ardhi kubwa Sana, kuanzia hekari hamsini na kuendelea, Kenya 70% ya raia hawamiliki Ardhi, wanakodishiwa na mabwenyenye.Usijali wameona watanzania wanatazama sana news za kenya kushinda wakenya wenyewe