7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Nimeshindwa kuiangalia ujasiri umenipotea, kuna watu wana roho za ajabu sana.Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.

