Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna majengo mawili yanajengwa pale victoria
Mwenye kujua atujuze plz
Maana nimeona picha ya matundubai kuna majengo mawili marefu sana sa ndo nataka kujua kama ni hayo
 
Kuna majengo mawili yanajengwa pale victoria
Mwenye kujua atujuze plz
Maana nimeona picha ya matundubai kuna majengo mawili marefu sana sa ndo nataka kujua kama ni hayo
Pale karibu na Tanzanite Park?

haya hapa? au mengine?

21751501_2028391270713517_2058680067374941706_n.jpg


21761855_2028391287380182_7690413264382089949_n.jpg


21686302_2028391304046847_1447398202413546267_n.jpg


21617836_2028391204046857_1476562774192190687_n.jpg

 
mi bado nasubiri picha za skyscrapers
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Hakuna skyscraper refu kama TPA(40fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kenya kama PSPF A(35fl) Kenya
Hakuna skyscraper refu kama PSPF B(35Flr)

Hakuna janjajanja za minara apa
Af kumbuka TPA Ina 178M( 40fl, each floor is 4.5m, 40 × 4.5 =180, errors plus extertion ni 178M, nyie wakenya cjui nadhan each flr ni 3M, cjui mnatuchukulia si watz ni vidwaff) na apo ni bila mnara

Endeleeni kuimba


what Tanzania celebrates today, Kenya probably had it 5 years ago be it roads, skyscrapers among other things
 
Naona Wanaondoka Machizi
Anaingia Kichaa!
Kweli hii mada Kufikia mwakani
90% Ya wakenya Kenya talk wataishia JF
Kujihami
Ajabu wanakuja Vichaa watupu!!
 
Naona Wanaondoka Machizi
Anaingia Kichaa!
Kweli hii mada Kufikia mwakani
90% Ya wakenya Kenya talk wataishia JF
Kujihami
Ajabu wanakuja Vichaa watupu!!
ukute hawa vichaa wa JamiiForums.com wanaojiunga jf ndio first eleven wao aka ma-great thinker wao.

hawa jamaa ukiondoa kujua ku-communicate kwa kingereza,kichwani ni mabogasi kweli kweli...
 
Wakenya wanavuka mpaka kuja Tanzania wanaogopa vurugu tar 26.
Karibuni sana mkiwa na nauli mje hadi Dar
 
Eee hayo
Ni flr ngap apo mkuu
Haya mafupi, 16 floors, Kama umegundua upande huu along Bagamoyo road kuna majengo mazuri sana sema mafupi, angalia kuanzia pale airtel, hata kule mwanza mwa Ali Hassan Mwinyi road kuna jangid, halafu faykat, Airtel, Paloma park, Tanre tower, spanish tiles, Tanzanite park na hayo hapo noble victoria, ni majengo mazuri sana na unique kwa design sema mafupi.
 
the new tanzania:
things are moving so fast,no time to sleep...it's one project after another....
bandika bandua.

while the big project of constructing tanzania electric sgr has begun,here is the current progress of another project in dar es salaam.

kijichi-tuangoma bridge.
6c183bc4e61e0af73944ea2976d34621.jpg
776bfc2da400bf6e8b7f984e7ad8cd35.jpg
93a8a15ae19660180fb1b0a40789bfba.jpg
c540caf77bb3ea6fa89da27b25a5d5b0.jpg
7ae49702d62cd463f442a1ddedb0cbbe.jpg
acbf1ff81a3546a01abfd3aa65d69e10.jpg
67662eab1e4162873721c47649a0ecb5.jpg
7b4cedfad4fef041ff5896d58e1c9b38.jpg
30df2430af378a1336efef8171c20f8e.jpg
9885d2117555bc5232d299cd53049140.jpg
de4146e3a8fcc8695e6530b362ef555a.jpg
ac20443c7fa25002da43077ad39d8942.jpg

hapa kazi tu..maandamano ya kisiasa tumewaachia wakenya
 
Back
Top Bottom