Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WATANZANIA. WATU WENYE HATA HAWAJUI KINGEREZANI NINI WATASHINDANA NA SISI WAKENYA AJE. UCHUMI, SOKA, MAENDELEO, ELIMU, YOOOTE TUMEWAACHIA MBALI.. SASA JU WAMEONGEZA TUNYUMBA DSM NDIO WANAFIKIRI TUKO LEVEL MOJA? SISI WAKENYA HUSHINDANA NA KINA SOUTH AFRICA BANA SIO MADANGANYIKA..HALAFU USISAHAU THE FIRST BLACK PRESIDENT OF THE USA NI NANI...OBAMA(ROOTS YA KENYA)..NINI TANZANIA WAMEWAI FANYA YA AJABU ISIPOKUWA KU COPY KENYA#
karibu sana safari hii mutafungua accounts mpya kila siku😀😀😀😀😀😀
 
Huwezi kua bora kwenye kila kitu wengine mna degree za counselling mnapiga kelele mmesoma smh
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Wewe akili yako iko Mata.koni
Ukikaa unaikalia ndio maana unashindwa kushirikisha ubongo hatimae unaandika shity namna hii.
 
kwani mapicha toka Darislum yameisha?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
imekuwa tu nikuleta habari za kijinga...eti wakenya sura mbaya..mara wakenya wanaabudu lugha ya malkia...etc....I think this battle is approaching its conclusion ....
 
Back
Top Bottom