Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mnazidi kudhihirisha ni jinsi gani elimu ya kenya haijawasaidia kuwaondoa katika ujinga.

acha nijitolee kuwaelimisha.

maisha magic bongo ni tv channel(not tv station) inayopatikana katika decoder ya dstv,ikijikita katika kuonyesha local movies/content za kitanzania zilizo andaliwa kwa lugha ya kiswahili.

hiyo ni channel tu sio tv station,hivyo basi unaweza kui-manage popote pale kama una content za kutosha.la msingi ni content tu sio wapi ina-ran.

kama operational offices za dstv kwa EA zipo kenya,basi sio issue content za maisha megic bongo zikiwa zinakuwa distributed kutokea kenya.
f075a73068437adacb871614d027ccd1.jpg

kwa mfano,azam tv ina ran channel inayofanana na maisha magic bongo,
inaitwa sinema zetu channel.

imejikita katika kuonyesha local movies za kiswahili zinazotengenezwa na watanzania.
0b33c27b3dc31f6f88a30f90bed275cc.jpg
c84caf851e56a931568202bdae616534.jpg

itabidi mjielimishe kuhusu tofauti ya tv station na tv channel.
79dd5a50a047febaeb8649ea170681f2.jpg
2bed9890bb39a4928c026e33b72c983d.jpg
Wape vityuu HAWA kanjanja uwa ujinga wao hautaisha me uwa siwaelewi na nawadharau sanaaa wmunaweza kulikuta eti linasema watanzania bana hamuekewi wakati yapo tunayarusha tunayaifath sipend dharau sasa uko tz et tunawazid Barbara rudi kwenu mkatumie zenu nyoooooo
 
round ii mutaitana sana naona.... 😀😀😀
 
JamiiForums.com imechngamka kadoda?design kama nijiunge kama vp nipe details kwanza
bado ipo dormant. haijachangamka....mimi huwa sikomenti mara kwa mara.....kwa mwezi naweza nikakomenti mara moja au mara mbili....napenda kuwa msomaji zaidi kuliko muongeaji.huwa inasaida kujifunza tabia za watu wa nchi husika wanavyojadili masuala yao kwenye mitandao.

huwa nipo kule kwa ajiri ya kufatilia mijadala mbalimbali ya wakenya kuhusu siasa zao hasa upinzani wa NASA na jubelee.

mda mwingine napenda ku-observe mijadala yao kuhusu nchi jirani hasa hasa tanzania.

wakenya wa JamiiForums.com wanaijadili sana tz.wapo wanaoijadili vizuri pia wapo wanaojadili vibaya.

wapo wanaomkubali JPM,pia wapo wasiomkubali JPM.ni kama tu vile hapa jf,wapo watz wanaomkubali raila pia wapo watz wanaomkubali uhuru.

huwa na enjoy sana kusoma maandiko yao wakitoleana mapovu kuhusu jubelee na NASA.
 
unagopa watakuona mshamba na hicho kiswahili chako sanifu na ukijaribu kiingereza ni broken...sio?😀😀😀the truth will set you free..
 
owners wa JamiiForums.com
hawajafikia level ya kuwa na mobile app.... JamiiForums.com bado sana..hata interface yake haivutii machoni.jf ndio baba wa mitandao EA.
Nimetumia web hahaha bado kweli...jamii forum tamu...waje uku
 
owners wa JamiiForums.com
hawajafikia level ya kuwa na mobile app.... JamiiForums.com bado sana..hata interface yake haivutii machoni.jf ndio baba wa mitandao EA.
the real Kenyan Forum was Mashada Forum!!!!! JamiiForums.com bado mtoto
 
Ntajiunga nifungue tuition ya kiswahili
wacha tu ndugu..watakutusi upandwe na pressure bure...kama unadhani wakenya wa JF ni wabaya, nenda Ktalk ukajionee....hao hata mimi walinishinda...
emoji23.png
emoji23.png
....Pili, wakenya wanaweza wakaja JF na waka dominate ila mtanzania akidhubutu kwenda kule kusema sijui Dar ni bora sijui reli ni bora
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
namwonea huruma...
 
Back
Top Bottom