ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nilikwambia awali ungekua umesoma economy basi ungejibu swali langu ila kwasababu huna ulijualo basi tumia hasira na ghadhabu 😆😆😆Ukosefu wa dollar ni kwa sababu Marekani iliprint pesa 2020 na 2021 walivyotaka.
Kenya ambayo inanunua mafuta nje mara mbili ya Tanzania, common sense inasema dollar ikipanda, pressure ya reserves pia itapanda.
Na by the way, karibu nchi zote duniani ziko na pressure ya dola sasa hivi.
LDC ambazo hazinunui mafuta mengi ya nje, hazijaadhirika sana. 😂 😂
Asante kwa jibu lako 👏👏👏🤣🤣