Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You know what you have just did? Umetoa bonge la business idea kwa tour operators, imagine kwenda Zanzibar tokea Kenya na Uganda ukipitia Mwanza with fancy fancy transport vessels and systems……..Nawaona jamaa zetu wakijaa pomoni kuja kushangaa.
Hii package unaiita 'from the Lake to the Sea' 😂😂😂

Halafu hawasafiri tuu all through, wanakua na stops labda wakifika Mwanza watakaa siku 1 waende Saa 8 island na city tour, next stop Dodoma wakale mbuzi choma na city tour then next stop Dar waende makumbusho na city tour then ndio wanafika Zanzibar, ukiamua bado kuna packages nyingine utazoweza kuwapeleka mpaka Rwanda, Kigoma huko Gombe Lake Tanganyika etc 😅😅
 
ni juzi juzi tu wakenya wameanza kuweka pavements kwenye sidewalks tena ndani kabisa ya CBD

Angalia CBD ilivyo mbali lakini walkway pana kabisa inatandikwa blocks zenye viwango

20230424_143707.jpg
 
Usidharau ligi zote ni ngumu sana hata simba mwaka jana alikuwepo federation na akaishia robo so usibeze kote nikugumu sana tuombe Mungu walau team mmoja ifike hata fainali iwe historia kwa nchi yetu🇹🇿 itakua jambo jema sana kwenye historia ya football na mwakani kwa uwezo wa Mungu tunaingiza team nne ambazo zinaweza kufanya vzr zaidi 👏👏👏
'mwakan kwa uwezo wa Mungu tunaingiza timu nne??' Hata saiz, timu zote zikishindwa kuingia hatua inayofuata (nusu fainali) bado tuna nafasi za kuingiza timu nne msimu ujao.. pia timu ambazo zitakazoshiriki ni Simba na Yanga CAFCL, then Azam na Singida BS CAFCC.

Why hizo timu?
Kwa sababu
1. Kwa kuangalia msimamo wa ligi, alieshika nafas ya 5, hata akishinda mechi zote zilizobaki, hawezi kumfikia points za alieshika nafasi ya nne saiz. So Top4 ni Azam, Simba, Singida BS na Yanga. Hivyohivyo, walioshika nafasi ya tatu na nne saiz hata wakishinda mechi zote zilizobaki, hawawezi kufikisha point za alieshika nafasi ya pili saiz. So top2 ni Simba na Yanga.. hivyo hizi ndo top2 zitashiriki CAFCL.

2. Kwenye kombe la FA (Azam FA),saiz wako hatua ya Nusu Fainali, na timu ambazo ziko nusu fainali ndo hizohizo zipo top4 kwenye msimamo wa ligi ambazo ni Azam, Simba, Singida BS na Yanga. So obviously, CAFCL ni Simba na Yanga (cc: point 1) na CAFCC ni Azam na Singida BS.
 
Important in-terms of what ? Slums ?
What influence is Nairobi having in the region ? What specific role does Nairobi play ?
You should instead say the most important city in Kenya .
Arusha is important than Nairobi.
1. The aviation hub in the region

2. The gateway to East and Central Africa

3. Home to the higest number of regional, continental and global offices/heaquaters in East Africa

4. The city with the biggest GDP in the region and the sixth richest in Africa

5. The most industrialized city in the region

6. City with the highest number of expats in the region

7. The most advanced city in the region

8. One of the four cities hosting UN offices in the world. The others being Geneva, Vienna and New York

Your Dar is slum is just a glorified fishing village

Ni hayo tu kwa sasa
 
Back
Top Bottom