I mentioned the same thing yesterday when I saw this twitter post. Not even a single bongolala has quoted my post. Kila siku wanakana hizi taarifa za ombaomba wao kuvamia mitaa zetu kama nzige but now we've been vindicated by this post by one of them. I pray they take all of them back to Tanganyika coz honestly they've been a nuisance on our streets
Maswali machache tu yakujiuliza...
Tangu lini mkenya akapendezwa na uwepo wa mtz huko Kenya.
Tangu lini mtz akaacha nchi yake ya maziwa na asali akaenda sehemu yenye dhiki na mahangaiko kama Kenya, Rwanda, Burundi Congo n.k
Ombaomba gani ataweza kukata passport na kwenda nchi za nje ikiwa chakula tu hakimtoshi.
Je, hao ni ombaomba au wawekezaji?
Miaka yote mnasema story hzo hzo, je serikali yenu inashindwa kuwarudisha?
Ok, tuseme mmekubali kuishi nao, kwnn mnalalamika?
Tangu lini mkenya akawa na huruma, mbn sisi hatuwahurumii linapokuja suala la kitaifa, tunawanyanyasa, tunawatesa na kuwarudisha kwenu kilazima tunapogundua hampo kihalali au mnahatarisha usalama wa nchi?
Mwisho kabisa, hao ni Wakenya wenzenu, dunia nzima inajua taifa ombaomba ni kenya msituambukize tabia yenu.