🤣🤣🤣🤣🤣🤣'mwakan kwa uwezo wa Mungu tunaingiza timu nne??' Hata saiz, timu zote zikishindwa kuingia hatua inayofuata (nusu fainali) bado tuna nafasi za kuingiza timu nne msimu ujao.. pia timu ambazo zitakazoshiriki ni Simba na Yanga CAFCL, then Azam na Singida BS CAFCC.
Why hizo timu?
Kwa sababu
1. Kwa kuangalia msimamo wa ligi, alieshika nafas ya 5, hata akishinda mechi zote zilizobaki, hawezi kumfikia points za alieshika nafasi ya nne saiz. So Top4 ni Azam, Simba, Singida BS na Yanga. Hivyohivyo, walioshika nafasi ya tatu na nne saiz hata wakishinda mechi zote zilizobaki, hawawezi kufikisha point za alieshika nafasi ya pili saiz. So top2 ni Simba na Yanga.. hivyo hizi ndo top2 zitashiriki CAFCL.
2. Kwenye kombe la FA (Azam FA),saiz wako hatua ya Nusu Fainali, na timu ambazo ziko nusu fainali ndo hizohizo zipo top4 kwenye msimamo wa ligi ambazo ni Azam, Simba, Singida BS na Yanga. So obviously, CAFCL ni Simba na Yanga (cc: point 1) na CAFCC ni Azam na Singida BS.
mwenye haki ya barabara kunyaland ni mwenye gari tu hao wengine wakatafute yao 😅😅😅Waenda kwa miguu na baiskeli vipi hatumii hiyo barabara
Kichaa cha mbwa 😆😆😆
Huyo Maria Sarungi ana kimbelembele.🤣🤣
Alaf nchi haina dollar 😆😆😆A lot of Kenya's forex comes from diaspora remittances.
Most of them send money to build houses back home.
Hivi anajua kama wydad alifungwa na rivers kwenye uwanja ule ule waliofungwa na Yanga jana?jamaa itakua hajui mpira,kombe analolidharau wametia aibu taifa kwa kufanua uchawi kule s africa na wakafungwa vile vileUsidharau ligi zote ni ngumu sana hata simba mwaka jana alikuwepo federation na akaishia robo so usibeze kote nikugumu sana tuombe Mungu walau team mmoja ifike hata fainali iwe historia kwa nchi yetu🇹🇿 itakua jambo jema sana kwenye historia ya football na mwakani kwa uwezo wa Mungu tunaingiza team nne ambazo zinaweza kufanya vzr zaidi 👏👏👏
Alaf nchi haina dollar 😆😆😆
Nimekuuliza kwann kuna shortage ya dollar ikiwa munapata remittances kutoka abroad? Usiniletee hasira lakini 🤣The country is growing fast, the demand is high.
Ata na shortage, you'll need to combine TZ, UG na Rwanda reserves ufikie za Kenya.
Kuna ligi kwa huu mchezo.
Russia imefinywa dollar pia, they still don't go comparing themselves to LDCs.
Kenya ina grow kitu gani ikiwa uchumi umeangukia pua, pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi kwa miezi mitatu hamuna alaf munategemea uchumi gani 😆😆😆😆The country is growing fast, the demand is high.
Ata na shortage, you'll need to combine TZ, UG na Rwanda reserves ufikie za Kenya.
Kuna ligi kwa huu mchezo.
Russia imefinywa dollar pia, they still don't go comparing themselves to LDCs.
Kenya ina grow kitu gani ikiwa uchumi umeangukia pua, pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi kwa miezi mitatu hamuna alaf munategemea uchumi gani 😆😆😆😆
Nimekuuliza kwann kuna shortage ya dollar ikiwa munapata remittances kutoka abroad? Usiniletee hasira lakini 🤣
Hili swali utanijibu tu ukiwa una elimu ya uchumi nje ya hapo utanijibu kwa hasira na ghadhabu
Russia china na usa wale achana nao wanavita yao ya superpowers sio ligi yako wale 😆😆
Alaf unemployment rate over 40% hvi ww unaona watu wote humu wajinga tu 🤣🤣Kenya sio Tanzania.
Huku, the government employees 1% of the workforce. Private sector 99%.
Huku hatuna ujamaa.
Tanzania ukitoa government buildings and projects, unabaki pale Nyerere aliwaacha. 😂 😂 😂