Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi ndiyo wa kwanza EA kuwa na hiyo kitu.
Eti wa kwanza 🤣 🤣 🤣 🤣 Kenya used to have toll roads in the 80's. Yani hii issue ya kuja Kenya kubenchmark on PPP's mumeigeuza ikawa battle ya toll roads. Munakuanga na ushamba sana.

 
Wacha ujinga wako, Tanzania hatukashiki katika kikosi Cha EAC huko DRC, jeshi letu liko huko chini ya UN pamoja na South Africa na Malawi baada ya kimaliza kazi ya kuwatimua M23 miaka kumi iliyopita, msilazimishe kutushikirisha katika "failed mission" yenu. Kamwe Tanzania hatiwezi kushirikiana na Kenya "Militarily", never on earth.
We sio jeshi wala huna cheo yeyote kwa jeshi.
 
Have been to Westlands today and have taken some random pictures,the place is really beautiful and developed,,many towers are coming up as well
IMG20230421144613.jpg
IMG20230421144558.jpg
IMG20230421144538.jpg
IMG20230421144310.jpg
IMG20230421144252.jpg
IMG20230421144031.jpg
IMG20230421144004.jpg
IMG20230421143833.jpg
IMG20230421143826.jpg
IMG20230421143736.jpg
IMG20230421143637.jpg
IMG20230421143643.jpg
IMG20230421143553.jpg
IMG20230421143549.jpg
IMG20230421143531.jpg
IMG20230421132625.jpg
IMG20230421132606.jpg
IMG20230421132514.jpg
IMG20230421132423.jpg
IMG20230421131624_01.jpg
IMG20230421131639.jpg
IMG20230421131457.jpg
 
Eti wa kwanza Kenya used to have toll roads in the 80's. Yani hii issue ya kuja Kenya kubenchmark on PPP's mumeigeuza ikawa battle ya toll roads. Munakuanga na ushamba sana.

Aliyegeuza ni mjinga mwenzako sliyekataa kwamba Kigamboni bridge sio toll roads baada ya kumuambia kwamba huku Tanzania tulianza kuwa na huo mpango wa PPP kwa barabara kwa zaidi ya miaka 7 Sasa, tunawashangaa hao watanzania walikuja kujifunza huko kwenu.
 
Hivi kweli Tanzania inaweza kujifunza mambo ya ulinzi kutoka Kenya?, hiyo inakuingia akili kweli?. Katika nchi ambayo vyombo vyake vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa ni Kenya, tunawezaje kujifunza jambo kutoka nchi ambayo tumewazidi kwa mbali Sana ktk "security?".

Kuna tofauti gani ya uendeshaji wa daraja la Kigamboni na hiyo Expressway, zote zinatumia mfumo huo huo wa PPP. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa Kodi, watu wanajipangia safari Ili wapate "per diem" hakuna Cha maana. Hilo ndilo nililopinga.
Akili kubwa ulinzi na ujenzi vinaingilianaje? TANROADS wamekuwa jeshi sasa? Plse stop what u r smocking una-sound akili ya ugoro sasa!
 
Kuna mbwa walikuwa wanasema kuna vumbi CBD tukawaambia hapo hutoona mchanga wakabisha, haya wapost tena basi, na nawaambia Wakunya sisi Watz tuliamua kubadilika miaka 7 iliyopita now ni vitendo tu, 2 to 3 years to come hutoona mchanga posta labda ukaufate baharini, kama ulaya mwanangu
😂😂😂😂 kama mbele aisee
 
Hiki kituo cha BRT pemben ya SGR Station nadhan wanaweka design ya bullet train.. The best 007 anaita joka 🐍
Ngoja nisubir nione itakapomalizika
View attachment 2595144
tunawaza sawa, 😅 ila wangeweka nakshi za Tanzanite 💎 ingenoga zaidi kuleta resemblance na terminal lakini nimewaza pia huenda ndio design ya phase 3 sababu naona kila phase ina design tofauti ya stations
 
Hii barabara ina lami. Kutoka Nairobi hadi South Sudan border barabara yote ina lami, nchi zote ambazo zina border Kenya zikona barabara ya lami from Nairobi. Ni Somalia tu imebaki, iko under construction.
mmejenga lini wakati hii ni habari ya 2022 na hela hamna?
Screenshot_20230421-134832.png
 
Back
Top Bottom