eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,803
- 16,475
Lake Ngosi and Kisiba Campsite, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 in specific
Barikiwa sana. Ngoja nipange safari ya huko.
Lake Ngosi and Kisiba Campsite, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 in specific
Matema Beach, Kyela, Mbeya 🇹🇿 pia sio sehemu ya kukosa uwapo Southern HighlandsBarikiwa sana. Ngoja nipange safari ya huko.
Huyo jeshi wenu amevaa kofia ya EACRF kwanini? Watu si wajinga buanaaaaa.Tanzania hatujachangia chochote katika kikosi Cha EAC huko DRC, hizi picha ni wakati wa mazungumzo ya makamanda wa majeshi ya nchi zote za EAC yaliyofanyika Kenya, lakini hadi leo hakuna mwanajeshi wa Tanzania hata mmoja aliyekwenda DRC kuungana na wanajeshi wa nchi za EAC, hadi Sasa ni Tanzania na Rwanda tu ambao hawajapeleka jeshi lake DRC ktk kikosi Cha EAC.
Matema Beach, Kyela, Mbeya 🇹🇿 pia sio sehemu ya kukosa uwapo Southern Highlands
View attachment 2595016View attachment 2595017View attachment 2595018View attachment 2595019View attachment 2595020View attachment 2595021View attachment 2595022View attachment 2595023View attachment 2595024View attachment 2595025View attachment 2595026
Hivi Wakenya wanaposema wanatuzidi kwenye km of paved roads mnawaelewa kweli? Mbn sioni relation kabisa, nchi yetu ni kubwa mara yao alafu maeneo mengi ni yanafikika unlike kwao na bado wanasema wanatukaribia hii mbn haiingii akilini kabisa. Ninachokiona ni uzembe wa bodies zetu kushindwa ku update taarifa zao mara kwa mara.ubora wa hali ya juu barabara pana vizuri tofauti na za kenya
View attachment 2594928View attachment 2594929
Magufuli effect [emoji115][emoji115]
pamoto sanaSaafi sana.
Naona kuko faya faya.
![]()
Hilo haliwezekani bro wanajilete wanataka boeing 767 ya mzigo iwe inakwenda kubeba mizigo kwao 🤣🤣🤣🤣Kaka nasikia kunyan airways wanataka ushirikiano na ATCL,hii ni kweli?
Lakini hata zao zimejaza uongo, wanaweka kilometers ambazo hawana, hata mtoto mdogo humdanganyiHivi Wakenya wanaposema wanatuzidi kwenye km of paved roads mnawaelewa kweli? Mbn sioni relation kabisa, nchi yetu ni kubwa mara yao alafu maeneo mengi ni yanafikika unlike kwao na bado wanasema wanatukaribia hii mbn haiingii akilini kabisa. Ninachokiona ni uzembe wa bodies zetu kushindwa ku update taarifa zao mara kwa mara.
Tena hapo hapo bado hii ramani sio barabara zote ni lami, mfano hii barabara ya Eldoret - Juba ni vumbi 😂😂😂Lakini hata zao zimejaza uongo, wanaweka kilometers ambazo hawana, hata mtoto mdogo humdanganyi
View attachment 2595088
👏👏👏👏
Hii pia ni vumbi la Kinshasa wakuu 😂😂😂😂Tena hapo hapo bado hii ramani sio barabara zote ni lami, mfano hii barabara ya Eldoret - Juba ni vumbi 😂😂😂
View attachment 2595099View attachment 2595101
Kwahiyo kuvaa kofia ndio kwenda DRC?, au alikwenda peke yake huko DRC?. Kama KDF mmeshindwa luwavukuza M23 semeni Ili Dunia ijue, sisi tuliwafukuza wakakimbilia Uganda ndani ya wiki 3 tu, hivi Sasa KDF wapo kwa zaidi ya miezi 6 lakini M23 ndio kwanza wanazidi kuteka maeneoHuyo jeshi wenu amevaa kofia ya EACRF kwanini? Watu si wajinga buanaaaaa.
Wacha kutetea aibu. Hiyo gari haifai iitwe eti ni ya kijeshi. Sijaona nchi yoyote duniani inatumia mkebe kama huo kama gari ya kijeshiNani alikuambia lazima hilo gari libebe watu, hivi hujui kwamba miongoni mwa jambo muhimu katika vita ni kuisafirisha mahitaji muhimu Kama chakula, silaha, na madawa?.
TPDF litaendelea kuwa jeshi Bora Sana ukanda huu, wakati KDF litaendelea kuwa jeshi dhahifu na kenye kudharauliwa, ndani na nje ya Kenya.https://youtu.be/9hlhIO8c7p0
Ona jinsi jeshi lenu linavyodharaulika nje ya Kenya
![]()
Goma Protests: Did Tshisekedi Incite Masses Against EAC Regional Force? - KT PRESS
Democratic Republic of Congo (DRC) President, Felix Antoine Tshisekedi has been accused of inciting masses against the East African Community Regional Force (EACRF) deployed in the volatile eastern part of…www.ktpress.rw