Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mbwa walikuwa wanasema kuna vumbi CBD tukawaambia hapo hutoona mchanga wakabisha, haya wapost tena basi, na nawaambia Wakunya sisi Watz tuliamua kubadilika miaka 7 iliyopita now ni vitendo tu, 2 to 3 years to come hutoona mchanga posta labda ukaufate baharini, kama ulaya mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hiki kituo cha BRT pemben ya SGR Station nadhan wanaweka design ya bullet train.. The best 007 anaita joka 🐍
Ngoja nisubir nione itakapomalizika
Screenshot_1682076354742JPG.jpg
 
Tena hapo hapo bado hii ramani sio barabara zote ni lami, mfano hii barabara ya Eldoret - Juba ni vumbi 😂😂😂

View attachment 2595099View attachment 2595101
Hii barabara ina lami. Kutoka Nairobi hadi South Sudan border barabara yote ina lami, nchi zote ambazo zina border Kenya zikona barabara ya lami from Nairobi. Ni Somalia tu imebaki, iko under construction.
 
Back
Top Bottom