chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,689
- 45,954
biggest sugar project in Sub-Sahara
Tutaagiza mchanga TOPESTAN 🤣Kuna mbwa walikuwa wanasema kuna vumbi CBD tukawaambia hapo hutoona mchanga wakabisha, haya wapost tena basi, na nawaambia Wakunya sisi Watz tuliamua kubadilika miaka 7 iliyopita now ni vitendo tu, 2 to 3 years to come hutoona mchanga posta labda ukaufate baharini, kama ulaya mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91]
Soma hiyo link yako uliyoniwekea, Ina maana unaniwekea link lakini wewe mwenyewe hujaisoma sio?. Kwahiyo wewe lengo lako la kuniambia watanzania wameenda Kenya kujifunza, ulikua hujui wameenda kujifunza kitu gani?Akili kubwa ulinzi na ujenzi vinaingilianaje? TANROADS wamekuwa jeshi sasa? Plse stop what u r smocking una-sound akili ya ugoro sasa!
Ju wanahabari ndio wanajenga barabara ama? Hio barabara inaitwa A1 ina anzia Isebania, Tanzania border to Nakodok, South Sudan border.mmejenga lini wakati hii ni habari ya 2022 na hela hamna? View attachment 2595211
Kigamboni bridge is not a pure PPP cause was built by Government in corrobaoation with NSSF which is under government control.Don't mix between Tanzanite bridge and Kigamboni bridge you idiot, Kigamboni bridge is more than seven years old and it is under PPP, but Tanzanite is a new bridge which I told you the proposal was rejected, I am smarter than you by far.
Onyesha wapi wamesema mambo ya ulinzi?Soma hiyo link yako uliyoniwekea, Ina maana unaniwekea link lakini wewe mwenyewe hujaisoma sio?. Kwahiyo wewe lengo lako la kuniambia watanzania wameenda Kenya kujifunza, ulikua hujui wameenda kujifunza kitu gani?
Conclusion; Kamwe mwenye akili ndogo hawezi kuelewa nini akili kubwa inachofikiria.
Kula basi kama gari linaliwa.Leta hiyo nyumbu yenu ya kijeshi nile
kenha siku hizi ni journalists? 😂😂😂😂Ju wanahabari ndio wanajenga barabara ama? Hio barabara inaitwa A1 ina anzia Isebania, Tanzania border to Nakodok, South Sudan border.
View attachment 2595238
View attachment 2595244
Eldoret to Juba hakuna lami 😂😂😂Sasa hiyo mkebe is the best thing TPDF could assemble!? 😃😃
Enyewe wewe ni pumbavu.
Sio mimi ni kenha please don't shoot 😂😂😂😂😂😂Enyewe wewe ni pumbavu.
![]()
Tafuta mtu akusaidie kutranslate kwa kiswahili.Sio mimi ni kenha please don't shoot 😂😂😂😂😂😂
Hiyo lami imepita tu town kama chupi iliyopita tu makao makuu 😂😂
View attachment 2595348
inauma lakini ningekua ni wewe ningelia 😁Tafuta mtu akusaidie kutranslate kwa kiswahili.
Eldoret to South Sudan Boarder is 200km? 🤣 🤣 🤣 Kwa hivyo ulikua unataka hizo sections za less than 200km zitengenezwe na miaka ngapi? Kama huelewi kingereza rudi shule.
national monument and courts project ya billion 17 sio ishu ndogo, hii kazi wamepewa JKT ila to be honest haya ni mambo ya wachina anyway let's see
View attachment 2595376