Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatutafika kivipi wakati leo ni mwaka wa tano SGR stations zetu zinafanya kazi huku nyie mkibaki kupiga magofu picha
Sahivi wimbo umebadilika kutoka "niletee 1cm ya SGR" mpaka "yetu inafanya kazi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii barabara ina lami. Kutoka Nairobi hadi South Sudan border barabara yote ina lami, nchi zote ambazo zina border Kenya zikona barabara ya lami from Nairobi. Ni Somalia tu imebaki, iko under construction.
Eti Eldoret to Juba ni vumbi? Huyo kilaza anafaa atoke Tandale atembee.

He should be reminded that this is part of the road linking Kenya and South Sudan and it passes through Likitoung in Turkana
images - 2023-04-21T145249.574.jpeg
 
Wakenya sisi Watz tukifanya kitu ujue tunafanya kweli kwa level za kimataifa na sio kijuakali juakali kama expressway ya mchina, atokee mkenya aoneshe eneo liko world class kama hili huko kundustan niondoke jamiiforums, nchi nyingi ulaya hazina infrastructure kama hizi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_1682076354742JPG.jpg
Screenshot_1682076284154JPG.jpg
 
Sahivi wimbo umebadilika kutoka "niletee 1cm ya SGR" mpaka "yetu inafanya kazi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingefaa izinduliwe lini? This thing was supposed to be operational like four years ago
 
Ingefaa izinduliwe lini? This thing was supposed to be operational like four years ago
Unadhani tunajenga machuma pekee kama reli yenu? Hiyo reli ina mambo mengi ukiacha kupachika machuma, kuna mambo ya electrification pia kuna mambo ya signal [emoji613] msee, hata hivyo sio kosa lako ni jambo geni huko kwenu, sikulaumu.
 
We pumbavu unadhani hapa ni Kenya?

Image


Image
Wacha ujinga wako, Tanzania hatukushiriki katika kikosi Cha EAC huko DRC, jeshi letu liko huko chini ya UN pamoja na South Africa na Malawi baada ya kimaliza kazi ya kuwatimua M23 miaka kumi iliyopita, msilazimishe kutushikirisha katika "failed mission" yenu. Kamwe Tanzania hatiwezi kushirikiana na Kenya "Militarily", never on earth.
 
Back
Top Bottom