Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course I am not at your level. Your level of stupidity and desperation is out of this world and I am not anywhere near that level. You claim that bridge is a PPP but can't prove your claims then you mention Google to hide your ignorance about your country. What a clueless soul!!
Hahahaha, we started this PPP road business almost seven years back. I am not your level (From now on, I will call you my girlfriend)
 
Alafu ututasikia vilaza wa kibongo wakikenue meno zao chafu Eti ohhh Turkana and the whole of northern Kenya hakuna bararaba wala maendeleo
Screenshot_20230420-230644.png
 
Geza wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana, huwezi kulingana na Mimi, huwa ninajishusha Sana kujadiliana na wewe, watu wengi wananishangaa Sana kujadiliana na "very low IQ person like you".

Wapi nimekubishia?, huyo mkenya ndio niliyebisha kwasababu sikuona alipoweka hizo picha, lakini aliponiwekea "link" ndio nikahakikisha na nikawashangaa hao waliokwenda huko, wapi nimekubishia?.

Conclusion; Mtu mwenye akili ndogo, kamwe hawezi kumuelewa mwenye akili kubwa.
Akili kubwa!
 
Muliwafukuza wakaenda wapi? Nchi zote za EAC zikona jeshi Congo under EACRF led by Kenya. Ebu ona huyo commander wa jeshi yenu vile anafuatilia instructions kama kurutu.

Image
Tanzania has TPDF soldiers in DRC under MONUSCO which is a UN coordibated peace keeping force hence no need of sending another troops to DRC.

We are also wise enough not to risk our solders lives by placing them under Kenysn commanders because we know about KDF weak and outdated modus operandi.
 
Ww si unasema unamchukia magu imekuaje sasa mradi alio uanzisha unaupost humu
Wewe ni mjinga,Ikulu ni mradi wa pesa zake au za Babu zake?

Kwani ni mradi binafsi? Ku post hapa haibadili chochote kwanza ilistahili tuje na architecture yetu sio copy & paste..

Mtu wenu alikuwa haambiliki huu ndio ukweli.
 
Akili kubwa!
Hivi kweli Tanzania inaweza kujifunza mambo ya ulinzi kutoka Kenya?, hiyo inakuingia akili kweli?. Katika nchi ambayo vyombo vyake vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa ni Kenya, tunawezaje kujifunza jambo kutoka nchi ambayo tumewazidi kwa mbali Sana ktk "security?".

Kuna tofauti gani ya uendeshaji wa daraja la Kigamboni na hiyo Expressway, zote zinatumia mfumo huo huo wa PPP. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa Kodi, watu wanajipangia safari Ili wapate "per diem" hakuna Cha maana. Hilo ndilo nililopinga.
 
Achana na longolongo za kijinga. The thing is, no aibu sana kuita hicho kituko eti ni gari ya jeshi lenu. Hiyo mkebe inatoshea wanajeshi wangapi ndani? Kuna vitu hata ni aibu watu wakishabikia kisa uzalendo!
Nani alikuambia lazima hilo gari libebe watu, hivi hujui kwamba miongoni mwa jambo muhimu katika vita ni kuisafirisha mahitaji muhimu Kama chakula, silaha, na madawa?.

TPDF litaendelea kuwa jeshi Bora Sana ukanda huu, wakati KDF litaendelea kuwa jeshi dhahifu na kenye kudharauliwa, ndani na nje ya Kenya.https://youtu.be/9hlhIO8c7p0

Ona jinsi jeshi lenu linavyodharaulika nje ya Kenya
 
Back
Top Bottom