ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ukiondoa kelele Wakunya hawana kitu, uzuri wameanza kujijua
🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiondoa kelele Wakunya hawana kitu, uzuri wameanza kujijua
Screenshot zina shida gani? But link pia ipo hapo aliyopost hiyo tweet ifuate ukacheck.Mkuu, tuwekee link sio screenshots
Hiyo hata ipelekwe soko la nje nani atanunua? Hata inachekesha that's what your army uses and you are proud of it. SHAME!Jeshi letu linataka kupunguza utegemezi wa kununua silaha toka nje, bado hawajajitosheleza, vipi unataka wauze nje ya nchi?.
Wewe akili zako zinafanana na wakenya walio wengi, wanafikiria soko la nje kabla ya kutosheleza soko la ndani.
Hiyo doll ndio wanatumia wanajeshi wenu? 😂😂😂😂 Hiyo inaweza hata kukwea mlima?Nyumbu is for TPDF consumption, not for sell. Please tuwekee link tuone idadi ya gari zilizonunuliwa.
Hasira gani? Wakati nimekutumia link? Hata picha hujaangalia ukaamua kubisha tuuu? Uko sawa kweli? Au usukumagang umekuchizisha? Try to make ur arguments make sense aisee!Mkuu, nilikua sijamuona, ila baada ya kumuona nimeshangaa Sana. Ila mkuu punguza hasira kidogo
Anayejifariji ni wewe baada ya kuwaumbuaWanawafariji tu baada ya kuona mara kwa mara mnakuja kufanya benchmarking Tz.
Hii consultancy company lazima ilikua ya Tanzania, these roads are not looking Kenya's at allTurkana County
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwamba jeshi lenu linatumia yale mabati yaliyounganishwa?😂😂😂Nyumbu ni gari za jeshi mwehu wewe.