Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You're a high school leaver arguing with an engineer about engineering and you think you're bright. Talk to me slowly I explain these things to you.
Engineer who can't help his people from dying due to collapse of buildings daily?, Education which can't solve hunger problem.
 
Mkuu, a reason I said suala la elimu na afya halihitaji siasa kabisa, I understand your positivity, and so am I,
Hizi sekta ni lazima zipewe kipaumbele,
Ukiangalia mishahara ya watumishi wa hIzi sekta kama TANESCO na Mamlaka za Maji za zote za mikoa , ukalinganisha na Wanavyolipwa watumishi wa sekta za afya na elimu ni Mbingu na ardhi, licha ya kuwa watumishi wa afya na elimu wanatumika sana kama punda, plus udharirishaji na matusi juu.
Uwekezaji kwenye sekta za Umeme + Maji ukilinganisha na sekta za afya na elimu ni Mbingu na ardhi,
Hapa sababu kuu ni moja, kwenye Maji na umeme kunazalisha pato, iwe uwekezaji au vyovyote vile wanasiasa wananufaika (Cash Cows) , kuna ulaji huko .
Maana yangu ilikuwa,
1. Serikali iwe serious kuwekeza kwenye elimu, pia zifanyike reforms , maslahi ya wafanyakazi pamoja na mazingira ya kufanyia kazi viboreshwe,
Kusiwe na mtu tena anafeli kisha anaqualify kusomea ualimu akafundishe wengine. Hii pekee inadhihirisha hatupo serious .
Usipokuwa serious na suala la elimu huwezi kuwa serious na chochote .

2. Uwekezaji Sekta ya Afya, isiwe kisiasa, yaani kujenge vituo mobu vya afya na hatuna hata clinical officer hapo, hatuna medical equipments wala medicines, yaani ukiondoa Muhimbili, Ben Mkapa, Aga khan trust me hakuna taasisi nyingine yenye vifaa vya kujitosheleza nchi nzima hii.
How much do we need ( tukiwa na $200m) kwa kuanzia
Tunaweza weka vifaa vya kisasa angalau kwa kiasi kwenye hospitali zetu za mikoa yote 31 (za rufaa)
Kisha tukiwa na wataalam wa kutosha, angalau wenye maslahi ya kujimudu basi we are good to go, later on tunaboresha kwenye eneo la pharmaceutical. Ile pesa ya Covid-19 ilikuwa na uwezo wa kusovu yote haya vizuri kabisa, but where is the money?
Somehow tunaona kuna some will ku train hawa Specialists inaleta mwanga walau tunajua nini cha kufanya,
Mkuu, mshahara wa Medical Doctor aliyehitimu shule ya medicine ya miaka 6 ni around 400$ , hii ni pesa ndogo sana. Ndio unakuta mtu ana practice kama MD kisha ana shmba la matikiti analima pia, malpractice. Graduate aanzie $750
Na graduate mwalimu aanzie $500
This is possible.
Sijajua kama Viongozi wa nchi hii wanajua ni how much billions of $ zinaenda India na ulaya na marekani kwa ajili ya pharmaceuticals, I mean Billions of $ kila mwaka, naijua vema hii sehemu ambayo wengi hawaijui.
Kwani kuna rocket science gani kununua mitambo, kuinstall na kuanza kuzalisha generic molecules ambazo tayari zipo ?
Kazi ya hawa wakemia na wafanasia ni nini ?
Nchi hii ina wafamasia karibu 4000, tunawatumiaje? Kudispense na ku order dawa really?
Bado hatujawa serious
Kuna Kiongozi mmoja aliwahi kusema nchi hii ina wafanyakazi wengi kada ya ualimu kwahiyo ukisema uongeze mishahara nchi itakosa pesa za kuwalipa mishahara

Huyu ni kiongozi anayefanya maamuzi juu ya Taifa letu. Hapo kumbuka kuna wataalam wa Afya ambao wakimaliza masomo yao wanatimkia nje ,wanasomeshwa kwa pesa nyingi lakini maslahi yao ni duni wanaamua kuangalia ustaarabu mwingine lazima kuwe na upungufu wa hawa wabobevu.

Maono yangu ya kijuakali, siku Wanasiasa watakapowapeleka watoto wao kusomea ualimu ndipo maslahi yao yatakapoboreshwa, pesa zitapatikana haraka za kuwalipa mishahara na malupulupu, wanaendaga na upepo hao.
 
Kwanza pole Sana mkuu kwa uchungu ulionao katika sector ya afya. Ila unachosema hakina ukweli kwasababu Mimi ni mdau pia katika hilo eneo:
1)Mishahara yote ya watumishi serikalini imepangwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na viwango vya Mishahara vinategemea viwango vya "PGS". Madaktari ndio wapo juu wakifuatiwa na Engineers, kwahiyo Mishahara haitegemei sector.

Kuna baadhi ya vitengo vya serikali Kama vile "TRA", mwanzoni vilipewa "special treatment", lakini hivi hasa haipo hata nao wako katika mfumo huo wa PGS.

Senior specialist kwa Sasa anapokea Tshs 3.6M kabla ya makato, wakati MD anayeanza kazi Leo anapokea Tshs 1.8M kabla ya makato, Pharmacist Tshs 1.6M, a Nurse Tshs 1.5M.

Mkuu, Bajeti ya wizara ya Afya ni mara mbili ya Bajeti ya wizara ya maji, ni miongoni mwa wizara zinazipewa Bajeti kubwa Sana ikiwemo Bajeti ya Kilimo na Elimu, fuatilia Bajeti ya mwaka huu utakubaliana na Mimi.

Tanzania ni nchi inayoongoza katika uwekezaji katika Afya, Hakuna nchi yoyote inayoifikia Tanzania katika ukanda huu yenye Hospital nzuri na bora, upatikanaji wa dawa hivi Sasa ni zaidi ya 80%, upatikanaji wa vifaa tiba ni zaidi ya 70%

Mkuu, tatizo lako kubwa ni maslahi kwa watumishi wa Afya, Kuna uwezekano mkubwa wewe ni mtumishi wa Afya, kiukweli ni kwamba Medical doctors ndio wenye kuanza na PGS ya juu kuliko watumishi wengine wa serikali, fuatilia hilo na unirekebishe Kama nimekosea.

Mishahara ya watumishi wa serikali ipo kisheria, huwezi kuipandisha kiholela tena kwa upendeleo, ikipanda ni wote, sio sector moja au mbili.
Mzee, walimu mishahara yao ni midogo sana kulingana na kazi wanazozifanya.Madaraja hawapandishwi kwa wakati na wengine hawapandi kabisa, posho zao zinapigwa.

Madaktari wanasoma lakini wengi wanaondoka wanaenda nje ya nchi kutafuta maslahi mazuri zaidi. Inamaana huko wanakokwenda wanalipwa vizuri zaidi.

Serikali izidi kuboresha zaidi katika kada hizi mbili.
 
Mkuu, usichanganye kati ya matatizo ya kiutendaji na matatizo ya kisera na kisheria. Kutopandishwa madaraja na marupurupu Yao kupigwa au kutotimiziwa kwa wakati, hayo ni matatizo ya kiutendaji ambayo hayafai na hata serikali pia inajitahidi kupambana nayo, hayo yanatokana na uzembe wa watumishi wetu serikalini, Kama ambavyo hao walimu wanavyozembea ktk kazi zao, waalimu wengi ni watoro, hawajiandai Wala hawafundishi ipasavyo.

Kuhusu mishahara midogo na watu kukimbilia nje, Hilo ni tatizo katika nchi zote hapa duniani, Kamwe haliwezi kwisha kwasababu hata wajerumani hukimbilia USA kwasababu ya maslahi zaidi.

Kwa kadri ambavyo Kuna nchi tajiri na masikini duniani, na kwamba binadamu siku zote anatafuta kuongeza kipato chake, hama hama ya wafanyakazi haiwezi kumalizika kwasababu haiwezikani Tanzania kulipa mishahara sawa na USA, UK, France au South Africa.
 
Hakuna mtz atakuja kuwa ombaomba Kenya, hakuna na haitoweza kutokea, hao ni Wakenya wenzenu, sisi huku hilo suala la ombaomba tulishalikomesha mda mrefu, wamebaki ombaomba wachache sana. Kingine ni kwamba kama wangekuwa ni Watz mngeshawarudisha kitambo kutokana na chuki mlizonazo dhidi ya watanzania plus roho mbaya mlizonazo Wakenya.
Mkuu kunyan awapendani wenyewe kwa wenyewe so kamwe hawawezi kumpenda Mtanzania au mwafrika yoyote ila wako tayari watoe chochote hata cha maungoni mwao kwa watu weupe
 
Dar Es Salaam is the fastest-growing in terms of population, my friend, not infrastructure. Which means that it is up to you to imagine where all these people will live... Meanwhile, when it comes to prime/luxury/high-end real estate:

BRT kama hii ndio Unalinganisha na a mere bypass? acha kujiaibisha

Nioneshe gari la umeme kunyaland linalochajiwa masaa matatu kwa umeme wa 57ksh na kutembea km90/hr
Kwanza Tz tuna gari nyingi za umeme mara 14 zaidi ya Kenya
Screenshot_20230419-233037.jpg
 
Mkuu, usichanganye kati ya matatizo ya kiutendaji na matatizo ya kisera na kisheria. Kutopandishwa madaraja na marupurupu Yao kupigwa au kutotimiziwa kwa wakati, hayo ni matatizo ya kiutendaji ambayo hayafai na hata serikali pia inajitahidi kupambana nayo, hayo yanatokana na uzembe wa watumishi wetu serikalini, Kama ambavyo hao walimu wanavyozembea ktk kazi zao, waalimu wengi ni watoro, hawajiandai Wala hawafundishi ipasavyo.

Kuhusu mishahara midogo na watu kukimbilia nje, Hilo ni tatizo katika nchi zote hapa duniani, Kamwe haliwezi kwisha kwasababu hata wajerumani hukimbilia USA kwasababu ya maslahi zaidi.

Kwa kadri ambavyo Kuna nchi tajiri na masikini duniani, na kwamba binadamu siku zote anatafuta kuongeza kipato chake, hama hama ya wafanyakazi haiwezi kumalizika kwasababu haiwezikani Tanzania kulipa mishahara sawa na USA, UK, France au South Africa.
Ni sawa kama ulivyosema baadhi ya mambo ni kweli. Ila wanaokimbilia nje unakuta ni hapa hapa Afrika tena kusini mwa jangwa la Sahara sera zao zikoje na zetu zinashindwaje?

Hii dhana imekaaje kwamba Walimu ni wengi hivyo wakiongezewa mishahara pesa haitatosha kuwalipa wote.

Kwanini tusibane matumizi ya pesa sehemu fulani halafu tuzipeleke kwingine.?

Mfano Wabunge badala ya kuwanunulia ma viete(V8) kwa pesa nyingi, wanunuliwe magari ya kawaida, maRC, maDC, na wengine wengi wote halafu hizi pesa zinazobaki zipelekwe kwenye kada ya Afya na Education?

Huwa sioni sababu ya Waheshimiwa wabunge kupewa magari makubwa ya gharama kubwa wayatumie wakati wanakatwa mishahara, baada ya miaka 5 kuisha hana uhakika wa kurudi kwenye ubunge,na ikitokea ameukosa ndio basi tena gari ataliuza kwa hasara au kulipark kwasababu hawezi kulimudu. Huu ni upotevu wa pesa.

Sera zikiwa mbovu zinapelekea kila Wizara na idara zake kuyumba.

Wabunge inabidi wapewe elimu ya ujasiriamali, haina maana kuvimba na gari la kifahari miaka 5 halafu baadaye ushindwe kulimudu.

Nilisikitika sana siku namsikia mh Job Ndugai anasema kuna kipindi wabunge wastaafu walikuwa wanaenda kumuomba hela ya kujikimu, ni aibu sana.

Kiinua mgongo chake alipeleka kwenye uchaguzi na akapigwa akaishia kuwa omba omba. Kwanini wasipewe magari ya bei nafuu ili hata akiwa nje ya Ubunge aendelee kulimudu? Na zile pesa za mishahara yake ifanye kitu kingine kuepusha aibu?

Hivi ni sheria kwamba Mbunge ni lazima awe na V8,hana option ya kubadilisha gari na kutumia la gharama nafuu,kuepuka gharama za vipuri na mafuta?

Hata maRC,maDC, DED,RAS,nao wangetumia magari ya kawaida hata siku wakistaafu waondoke nayo nyumbani, hii itasaidia kuyatunza vizuri kwasababu atakuwa anajua ni mali yake tofauti na hapo hujuma zitaendelea tu.

Nimejibu kwa kutumia neno lako kwamba sera ni mbovu. Ni kweli kuna mahali sera za namna hii serikali iziangalie kwa jicho la tofauti.
 
Kuna mambo mawili hapa umezungumza, kuhusu wafanyakazi kukimbilia nchi za Afrika kufanya kazi, ninadhani hili nilishalitolea maelezo, kwamba siku zote watu uenda kwenye nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumi ambako kunalipa mishahara mikubwa zaidi, haijalishi Kama ni Afrika au nje ya Afrika.

Kwa hapa Afrika madaktari na Nurses hukimbilia Botswan, South Afrika na Namibia zaidi, hawaendi Malawi, Mozambique, Zambia, DRC Wala Madagascar, hata wakipata kazi katika nchi hizo, wengi wanakataa, wanaamua kubaki Tanzania. Hapa sababu sio sera, sababu ni tofauti za kiuchumi kati ya hizo nchi na Tanzania.

Kuhusu suala la wabunge, hapa ndio umechanganya kabisa mafaili. Wabunge hawanunuliwi magari, wanajinunulia wenyewe, bunge linawachukulia dhamana tu, yaani Toyota Tanzania wanakwenda bungeni kuwashawishi wabunge kununua gari zao, wale watakaokubali, ofisi ya bunge inachukua dhamana ya kuwakata pesa zao Kila mwezi na kuwalipa Toyota, ikitokea hajamaliza deni na miaka mitano imekwisha, Salio linakatwa kutoka katika Ile pesa Yao ya mwisho ambayo ni Tsh 270M, hizo sio gari za serikali, Kuna wabunge wengi ambao hawanunui hizo gari, wanatumia gari zao za kawaida tu, wabunge wote toka Zanzibar hawanunui hizo gari.

Tatizo la magari makubwa lipo serikalini, kuanzia mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Tatizo hili ni tatizo la kiutendandaji na sio sera, utakumbuka jinsi Magufuli alivyokua akiwafukuza kazi wakurugenzi na makatibu wakuu kwa kuruhusu ununuzi wa magari makubwa kwa matumizi ya kiofisi?
 
Back
Top Bottom